Aelknes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 246
- 603
Yani kila siku mnatafuta mambo ya kutuchafua
Imekua ni jambo la kawaida sanaa kukuta tunasemwa vibaya
Tunaitwa
-Wezi
-Watembea na wake za watu
-Tunalelewa
-Mashoga
Unakuta ukionekana umejazia basi watu wanataka kukujaribu mpigane😤😤
Unapishana na mtu njiani anakuambia hiyo minyama tu hata kwenye sambusa ipo
Nani kawaambia sisi tunafanyaje mazoezi ili tupigane???
Mazoezi ni furaha,afya & upendo💪🏽💪🏽
Wengi hupendelea mazoezi ili watengeneze mwili uwe na
mwonekano mzuri
Wengine wameshazoea mazoez hawawez kuacha
sasa kosa hapo lipi??
Ushoga,wizi na vingine vyote ni tabia ya mtu mazoezi yanahusika vipi??
Wapo masheikh,mapadri,viongozi wa kisiasa,wasanii,walimu wenye tabia hzo
kwanini mnatuandama sana sisi?? wakati jamii hyo ndo wamejazana huko
Mngekua mnajua jinsi tunavyoumia msingekua mnatudharau hvyo
KIUKWELI INAUMA SANA UNAPOFANYA KITU UNACHOKIPENDA ALAFU UNAKUTA
WATU WANAKUONGELEA VIBAYA
Kilio cha samaki