Wafanyabiashara 650 waomba kufunga biashara TRA

Tulipe kabla ya tarehe umesikia tuna hela imekaa tu inasubiri kulipa TRA?!
 
Wanaomba au wanaitaarifu TRA?
Nchi za kijima hizi.
 
Hapa kwetu mambo ni tofauti , mwendo wa kukomoana ili kumfurahisha Shetani.
 
sasa tra ni umeenda kula kodi unaambiwa umenunua mashine mnaanza ugomvi wa badala ya kulipa kodi ,sa ivi watu wanafunga biashara tra ni shida vijana rushwa mpaka imekuwa kero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanabodi, ombi lina pande mbili, kukubaliwa au kukataliwa. Sasa, kuhusu hii ishu, unaomba kufunga au unataarifu kufunga naomba kuelewa.
 
Watageukia biashara nyingine kwani hiyo ndiyo kazi wanayoifahamu! Watafunga hoteli kwa ajili ya watalii, watafungua hoteli kwa ajili ya akina mangi au siyo. Twende tu kidogo kidogo hadi tufike!
 
Si inategemea na ukubwa wa lengo. Imagine 10b ndio 85%
Siku zote TRA wanalenga kukusanya zaidi, so wanavyosema wamekusanya 85% ya malengo yao despite ya izo biashara zilizofungwa ni mafanikio makubwa
 
Huyu aliwahi kusifiwa na mkulu kipindi akiwa boss msaidizi na aka recommend apandishwe cheo,matokeo yake ndio haya tunajionea.
 
sasa tra ni umeenda kula kodi unaambiwa umenunua mashine mnaanza ugomvi wa badala ya kulipa kodi ,sa ivi watu wanafunga biashara tra ni shida vijana rushwa mpaka imekuwa kero

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa TRA wanataka wafanye kazi mwaka mmoja tu then wanunue Bmw 7 series za 2010.
 
Basi vile mkulu ana alegi na wa Kilimanjaro na yeye anakomoa mi fine mikubwa mikubwa Hana huruma Kuna watu nawajua kawaonea Hadi wamefunga biashara, jamani tukiwa na vyeo tukumbuke wengine na tuwasikilize sio kwa kuwakomoa imagine wazee wanalia kwa kukomolewa na TRA plus vijana Wala rushwa, huyo manager naomba apatwe na janga hata atenguke kiuno kawatesa Sana wazee.
Manager mzima biashara zinafungwa bado hajiulizi tu
Huyu aliwahi kusifiwa na mkulu kipindi akiwa boss msaidizi na aka recommend apandishwe cheo,matokeo yake ndio haya tunajionea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Wana sifa kweli kweli hao vijana, acha watu wafunge biashara waje kutumbuliwa na uchumi uharibike ndo wakumbuke kuvuta shuka kumekucha
sasa tra ni umeenda kula kodi unaambiwa umenunua mashine mnaanza ugomvi wa badala ya kulipa kodi ,sa ivi watu wanafunga biashara tra ni shida vijana rushwa mpaka imekuwa kero

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…