Wafanyabiashara jifunzeni kuwa na kauli nzuri kwa wateja

Kwani hiyo good customer care mnayoitaka mnailipia?
Hatulipi lakini tusioneshane dharau basi pesa ni yangu mali ni zako wewe unauza unahitaji pesa na mimi nanunua nahitaji mali sasa kwanini tuleteane dharau. Na kama una hio mentality jitahidi kuacha hizo ni akili za kimaskini sana.
 
Hakuna mfanyabiashara anaweza fanya ivo,ukiona ivo ujue nae kaajiriwa mmiliki hayupo
 
Wafanya biashara wa Arusha some percent kauli nzuri kwa mteja hawana… tena wale wa sokoni akuone unachagua chagua sana, au ubonyezee parachichi [emoji23][emoji23]
Anakushushua bila aibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukita huduma au kauli nzuri kwa wahudumu wa sehemu za biashara Bongo utakwama. (nikiri hata mimi nakwazika sana na huwa siendi sehemu zanye huduma mbovu). Ajabu ni kuwa watanzania wenyewe walishazoea na kukubali kunyanyaswa.
Na ni vitu vidogo ndo vinakwamisha biashara nyingi. We kama una biashara Heshimu kila mtu ongea vizuri haikugharimu hata mia yako
 
Huko kuna dogo mmoja alienda shule pale Tandahimba Asee tukaona kuliko kubebana na mizigo ni bora tukanunulie vitu hukohuko Asee walivyojua sisi ni wakuja MBN tulikoma
 
Hatulipi lakini tusioneshane dharau basi pesa ni yangu mali ni zako wewe unauza unahitaji pesa na mimi nanunua nahitaji mali sasa kwanini tuleteane dharau. Na kama una hio mentality jitahidi kuacha hizo ni akili za kimaskini sana.
Vipi kuhusu wateja wenye dharau? Hilo unaliongeleaje?
 
Good customer care ndo kila kitu kwnye biashara hawaelewi mwisho wa siku unatafuta mchawi Nani kumbe mwnyew..afu neno karibu Lina Nguvu Sana kwnye biashara [emoji4]
 
Kwani hiyo good customer care mnayoitaka mnailipia?
Hahaha,ujue sio wewe tu unaeuza au unaetoa huduma iyo pekee wapo wngine,why mteja aache duka lile aje kwako, good customer care ndo kila kitu kwnye biashara...Ni free service unatoa kwa mteja but Ina impact kubwa kwny business
 
Hahaha,ujue sio wewe tu unaeuza au unaetoa huduma iyo pekee wapo wngine,why mteja aache duka lile aje kwako, good customer care ndo kila kitu kwnye biashara...Ni free service unatoa kwa mteja but Ina impact kubwa kwny business
Maana yangu Kama hawailipii Sasa si wahame hapo wakaipate Tena bure tu.

Umeshaona unapewa huduma mbovu Sasa si Ni kuhama tu kwano shida iko wapi?
 
Pesa uitafute kwa shida na kuitumia ni kwa shida pia.

Ukiachana na kauli za wafanyabiashara pia kuna mambo huwa yananifeshesha kwenye biashara.

Wafanyabishara wengi wanauza bidhaa wasizozijua kiundani anachojua tu ni kuzisifia. Kama mteja kaagizwa na mtu mwingine ataishia kuuziwa kitu kingine kabisa.

Wafanyabishara wengi sio waaminifu wanachojali ni kuuza bidhaa na kupata pesa tu hawajali kuhusu kesho. Kuna ndugu yangu aliwahi kuuziwa nyaya za umeme kumbe ule waya wa ndani sio imara unapukutika ukitoa lile ganda la juu, na aliuziwa dukani. Aliporudisha bidhaa ile aliambiwa auziwe nyingine ila hawabadilishi.

Mfanyabiashara akiona umekuwa mteja wake wa kudumu anakuwa ana uhakika na wewe mwishowe anaanza kukupa huduma mbovu. Na moja ya watu ambao sipendi kuhudumiwa nao ni wadada wa migahawani au hotelini bora wahudumu wa kiume.

Mwisho kabisa kuna wateja huwa ni wasumbufu balaa tena ukute mhudumu ni mwanamke kama siyo msitaarabu unaweza ukamfukuza.
 
Dawa yao kuongea kiinglish tu, utaona jinsi wanavyojigonga,
Hao ndi wabongo mteja kwao ni fala, ila ukipiga sleng wanakuchangamkia fasta
 

Ni mimi kabisa aisee[emoji23][emoji23]walini nunia wakawa wnakuja na wapenzi wao .mwisho wakasema nina ukimwi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…