Wafanyabiashara kama mnaona Kodi Kubwa Mhamie Burundi

Wafanyabiashara kama mnaona Kodi Kubwa Mhamie Burundi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Wasitutishe, wasitubabaishe. Lazima kuwe na tozo na kodi mbalimbali. Haya ma vieti mnadhani ni mengi hivi sababu wajapan wanatupa bure?

Mnadhani yanatumia maji? Au yanatumia upepo? Burundi nadhani maisha ya kule ni rahisi zaidi kwa mujibu wa Mwigulu Nchemba.

Wanasiasa walio empty kichwani wakishiba wakavimbiwa. Huwa wanatoa gesi tu... Mungu awape nini? Gunia la Chawa?
 
Back
Top Bottom