Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaumwa mahospitalini waziri wa afya haonekani!Ukisikie serikali imelala ndo hivi sasa.
Waziri wa biashara haonekani wakati wafanya biashara wameunguliwa soko lao badara yake anaenda TAMISEM...
Akafate nn mahospitalin amekuwa daktariWatu wanaumwa mahospitalini waziri wa afya haonekani!
Waziri wa biashara afate Nini kwny moto,kwani yeye amekua mfanyakazi wa fire/zimamoto?Akafate nn mahospitalin amekuwa daktari
Mleta Uzi toa jibu[emoji38][emoji38][emoji38]Waziri wa biashara afate Nini kwny moto,kwani yeye amekua mfanyakazi wa fire/zimamoto?
[emoji23][emoji23]Waziri wa biashara afate Nini kwny moto,kwani yeye amekua mfanyakazi wa fire/zimamoto?
Kuna Aina mbili za lesini za biashara ambazo ni class A na class B. Class A zinatolewa na Wzara ya Viwanda na biashara wakat class B zinatolewa na halmashauri/manispaa ambazo zipo chini ya TamisemiI think Waziri wa biashara ajiuzulu ni kweli kabisa hii ishu ni ya kwake moja kwa moja pamoja ya kwamba TAMISEMI ndio wahusika wa masoko kwa kuwa inagusa biashara moja kwa moj....
Nimekuelewa sana naamini wengi wapitie hapa kwako Kuna elimu nzuri. Nilipitiwa kwenye hili , thanks gentleman.Kuna Aina mbili za lesini za biashara ambazo ni class A na class B. Class A zinatolewa na Wzara ya Viwanda na biashara wakat class B zinatolewa na halmashauri/manispaa ambazo zipo chini ya Tamisemi...
Kwani biashara ya mitumba na nyanya huwa vipo chini ya wizara ya viwanda na biashara?Ukisikie serikali imelala ndo hivi sasa...
Hilo soko lipo registered wizarani au linaingiza kodi TRA au ? Huwezi toa lawama kwa issue ambazo hazipo kwenye record za walipa kodi zihesabiwe ati ni Biashara zenye mchango wizarani... machinga kwa mujibu wa sheria za nchi ni kosa la jinai.. lipeni kodi wapumbavuI think Waziri wa biashara ajiuzulu ni kweli kabisa hii ishu ni ya kwake moja kwa moja pamoja ya kwamba TAMISEMI ndio wahusika wa masoko kwa kuwa inagusa biashara moja kwa moja.
Waziri wa Biashara please jiondoe maana hatujasoma juhudi zako kwenye janga hili kwa maana ya kuwanasua hawa wafanyabiashara wa ndani especially hawa wenye mitaji midogo
It seems like Wizara ya biashara inadeal na wawekezaji tu jambo ambalo halimhusu
Hilo soko lipo registered wizarani au linaingiza kodi TRA au ? Huwezi toa lawama kwa issue ambazo hazipo kwenye record za walipa kodi zihesabiwe ati ni Biashara zenye mchango wizarani... machinga kwa mujibu wa sheria za nchi ni kosa la jinai.. lipeni kodi wapumbavu
Halmashauri ndio wakuwajibika,soko lenyewe gofu,chafu,hakuna matengenezo au ukarabati wa majengo LAKINI Halmashauri inakusanya kodi.
Kwani biashara ya mitumba na nyanya huwa vipo chini ya wizara ya viwanda na biashara?
Naombeni mniletee hasara yote iliyotokea kwenye huo moto najitolea kimoyo safi kuwalipa wote waliounguliwa na kuwapa mtaji kwa hela zangu mwenyewe ila isivuke dola za kimarekani milion 50.