Wafanyabiashara kuneemeka kesho

Wafanyabiashara kuneemeka kesho

Pesanyingi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2023
Posts
1,157
Reaction score
1,983
Kwa hali ilivyo kesho ni siku nzuri sana kwa wafanyabiashara au watoa huduma katika sehemu zufuatazo.

1. Wasafirisha hasa bodaboda hapa watatowa watu sehemu moja kwenda nyingine sana hasa kuanzia nyakati za jioni.

2. Kumbi za starehe, hapa watu watakuwa wakipongezana na kubadilisha mawazo.

3. Nyumba za kulala wageni, hapa watapokea wageni wenyeji wengi wa kutosha ambao watakuwa wakipisha na kuchuana viKali kuwahi vyumba, lengo wataenda kufidia siku.

4. Kuna mfugo utalika sana kwani mauzo yao yalishuka siku za nyumba kutokana na uhitaji kupungua.
Unaweza kuongeza na wewe kulingana na eno ulipo.
 
tusiwashawishi ndugu zetu kutenda dhambi.

jambo la msingi ni kuwakunbusha kufanya mema waliyo jifunza kwenye mfungo sio kutenda maovu.
 
Back
Top Bottom