Wafanyabiashara Makanjanja wamewagharimu sana Wafanyabishara waaminifu, hivi sasa wanatumia nguvu nyingi kumshawishi mteja

Wafanyabiashara Makanjanja wamewagharimu sana Wafanyabishara waaminifu, hivi sasa wanatumia nguvu nyingi kumshawishi mteja

Ukitaka mfuko mmoja au 10 uwahi ukajenge unapewa hakuna kupima utaambiwa unabishana na maandishi ya mzalishaji?
Hakuna anayepima mkuu.
Hili la kupigwa uku mitaani ama nje ya mji tushapigwa sana kwenye siment...................I
 
Back
Top Bottom