Wafanyabiashara mliowahi kutoka kimapenzi na wafanyakazi wenu, ilianzaje na ilikuwaje baada ya hapo

Wafanyabiashara mliowahi kutoka kimapenzi na wafanyakazi wenu, ilianzaje na ilikuwaje baada ya hapo

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
1777556127502.png


Wafanyabiashara wenye Maduka na wayzaji wao wa maduka
Wamiliki wa makampuni na wafanyakazi wao
n.k.

Unaweza kuchangia kwa kutoa experience yako kwa kujibu swali moja, baadhi au yote kati ya haya
  • Ilianza vipi kati yako na mfanyakazi wako?
  • Mlifanya sex ? Ndani ya ofisi au ?
  • Je, ilikuwa ni mara moja au iliendelea kwa muda?
  • Baada ya hapo, uhusiano wa kazi ulibadilika vipi?
  • Ilileta changamoto zozote kwenye biashara yako ?
  • Wafanyakazi wengine waligundua au ilibaki siri?
  • Ulijisikiaje binafsi baada ya tukio hilo? (did you regret)
  • Je, uliwahi kujuta au ulikuwa sawa na uamuzi wako?
  • Iliathiri vipi maamuzi yako kama biashara?
  • Uliwekaje mipaka baada ya hapo ?
  • Ni ushauri gani ungewapa wafanyabiashara wengine kuhusu hilo?
1777553645447.png
 
😁 alianza kujiona kipepeo cha bosi
Banaaa weee kidogo niharibu mahusiano na mmiliki wa company, nilitengezewa zengwe na bidada, bahati mmiliki wa company pia alikuwa hamtaki mdq mrefu , kama alikuwa na tabiq mbovu.. bidada kipindi anatengeza case tayari ikawa haina maana
 
Ilianza tu kama utani.... Baadaye......
(Haya maelezo niliyoandika hapa hayana uhusiano na mimi)
 
Tulikaa mitaa ya Kagera, Mikoroshini tunakata kiu, hapohapo kwa nyuma kuna nyumba vya kujisevia. Tukamuona boss mmoja wa Duka la dawa mitaa ya Mapipa kaja kujisevia mfanyakazi wake. Kumbe hii ndio tabia yenu?
 
Back
Top Bottom