Wafanyabiashara mnafanyaje kudumu na wateja kwa muda mrefu bila kuletewa Mazoea ya kukopa?

Wafanyabiashara mnafanyaje kudumu na wateja kwa muda mrefu bila kuletewa Mazoea ya kukopa?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,574
Yaani unakuta mteja mlianza vizuri biashara lakini kadiri siku zinavyokwenda anaanza kukuzoea mara achukue mzigo aseme hela baadae, mara kesho mara baada ya wiki hapo hajakwambia anakopa

Ndo mwanzo wa kumpoteza maana taratibu anaanza kutolipa au kusumbua kulipa

Nyie wenzangu mnafanyaje?

Maana najikuta napoteza wateja na usipokwenda nao hivyo bidhaa hazitoki
 
Yaani ni balaa
Nimemkataa live maana .kwanza bei analalia.halafu nimefulia Nina stress zangu.kunyenyekea wateja kunatucost sana.Mungu atanipa mwingine
 

Attachments

  • IMG_20250411_192520.jpg
    IMG_20250411_192520.jpg
    212.4 KB · Views: 20
Yaan unakuta mteja mlianza vizuri biashara lakini kadiri siku zinaenda anaanza kukuzoea mara achukue mzigo aseme hela baadae ,mara kesho mara baada ya wiki hapo hajakwambia anakopa

Ndo mwanzo wa kumpoteza maana taratibu anaanza kutolipa au kusumbua kulipa

Nyie wenzangu mnafanyaje??
Maana najikuta napoteza wateja na usipo enda nao hivo bidhaa hazitoki
Ukianza kukopesha Inamaana mtajii wako ni mkubwa yaani unapesa za ziada, ,(nyingi)
 
Wateja ni kuwa nawo makini hasa wateja wapya wanaokuja,Hawo mara nyingi wanatafuta chimbo la kukopa baada ya kukimbia madeni sehemu nyingine
 
Back
Top Bottom