Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
ni kweli lakin ebu fikiria mteja uko nae miaka miwiliChaka nao Vizuri, ila ikifika wakati wa kukopa, Wambie Hatukopeshi.
mazoea gani tenaWacha mazoea na wateja
mwingine hakopi ila anapitia mzigo anasema hela anakuja nayo au anatuma mtu kumbe ndo anakopa kijanjaRahisi tu,sikopeshi....kwani mtaji alikupaa
mjini kati hamna hayoNdo maana huwa naonaga bora biashara za mjini kati ila mitaani huku jau sana!, shida huwa si kukopa shida ni uaminifu!
nyieeeYaani ni balaa
aaisee kwaiyo uwe unafanyaje asikuzoee maana kuzoeana ni automaticYaani wateja wa kibongo mkishaanza mazoea ataanza kukopa, baada ya hapo ndio utajua kudai ilivyo kazi ngumu
Ukianza kukopesha Inamaana mtajii wako ni mkubwa yaani unapesa za ziada, ,(nyingi)Yaan unakuta mteja mlianza vizuri biashara lakini kadiri siku zinaenda anaanza kukuzoea mara achukue mzigo aseme hela baadae ,mara kesho mara baada ya wiki hapo hajakwambia anakopa
Ndo mwanzo wa kumpoteza maana taratibu anaanza kutolipa au kusumbua kulipa
Nyie wenzangu mnafanyaje??
Maana najikuta napoteza wateja na usipo enda nao hivo bidhaa hazitoki
mi suala la kukopesha silitaki kabisaInatakiwa akili kubwa kudeal na wateja, unakopesha vipi na unadai vipi hivi ni vitu 2 vya kuzingatia. Ni biashara gani unafanya?
Me sitaki tenamwingine hakopi ila anapitia mzigo anasema hela anakuja nayo au anatuma mtu kumbe ndo anakopa kijanja
Niulize mm nawanyoosha vizuri ukifilishika ndo utajua ubaya wa wateja wa kukopa.ni kweli lakin ebu fikiria mteja uko nae miaka miwili