Wafanyabiashara mnafanyaje kudumu na wateja kwa muda mrefu bila kuletewa Mazoea ya kukopa?

Wateja ni kuwa nawo makini hasa wateja wapya wanaokuja,Hawo mara nyingi wanatafuta chimbo la kukopa baada ya kukimbia madeni sehemu nyingine
Kabisa.kuna siku nimepeleka bidhaa zangu sehemu .ananiambia nimkopeshe niwe napitia kila week
Nikawaza mbona Yuko muda pale na washindani wangu sokoni sioni bidhaa zao .
Nikajua kuna. shida
Kweli nikaja kujua jamaa huwa hailipi kabisa ni bonge la tapeli
 
Kopesha mtu kiasi ambacho ni faida umepata toka kwake, assume mtu akichukua mzigo unapata faida 10,000, usije ukarogwa kachukua bidhaa mara 2 ama 3 then umkopeshe mzigo wa laki, hakikisha unachokopesha kipo within ile faida aliokuinhizia utaona Automatic mambo yanakaa vizuri.
 
hili somo nalo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…