Wafanyabiashara mnakaribishwa.... ( kuchanga kodi za sehemu za biashara)

Wafanyabiashara mnakaribishwa.... ( kuchanga kodi za sehemu za biashara)

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Business rent sharing idea..



Natafuta mtu anaefanya biashara yeyote isiyo na usumbufu wa harufu au kelele… wa kushare nae kodi ya space tutakapofanyia biashara na kufanya separations … ( this will be a cost savings maana commercial buildings nyingi wanachaj bei kubwa ukipanga space ndogo na bei ndogo ukipanga space kubwa)

My business ni modern photostudio, small music studio na tshirts designing and printings,, na sehem nazofikiria ku rent a space ni yenye security kubwa na bigger population eg. Near vyuoni, inside hostels like mabibo , secured commercial place in sinza, mwenge , etc..

Kwa anaefanya biashara yeyote na anataka sehemu ya kufanyia biashara anakaribishwa…

We can rent even a full secured house in prime areas na kuitumia as a business house kama wcb office… tukagawana rooms na kila mtu akafanyia biashara yake.

Maoni na mawazo yanakaribishwa…
 
Ingelikuwa vizuri kama ungekuwa umepata sehemu kabisa ukaja na bei angalau mtu angeweza ku estimate gharama na budget yake iko vipi
 
Ingelikuwa vizuri kama ungekuwa umepata sehemu kabisa ukaja na bei angalau mtu angeweza ku estimate gharama na budget yake iko vipi


hiyo ni sawa.. ila ndio maana nikaweka maoni.. anaehitaji anichek tujue tunafanyeje... bei kila mtu anaweza akatafuta sehemu nzuri secured tukajichanga.. sio lazima nitafute mimi
 
Back
Top Bottom