Je nikwanini wafanya biashara hawapendi kulipa kodi kwa shuruti?...Kama kwenye harusi au harammbee?
1-Ni kwasababu hajui inatumikaje, au haoni faida yake ya Moja kwa Moja, au ufisadi unaosikika na si katika hiyo kodi anyolipa? Au elimu haijawekezwa kwa nguvu Kama kwenye HIV?