NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Jilala,machiya na Mihambo ni wazee wa kata hiyo,walisikika wakilalamika Sana,Adili akarekodi !
"Unajua hii Bara Bara ya Mabeshi kuja hapa Loya ni ya kimkakati na tuliambiwa msimu HUU wa kiangazi itakarabatiwa kama KAWAIDA lakini Kila mwaka wanaipapasa tu halafu mvua zikianza kunyesha tu vidimbwi vinajaa maji na magari yanakwama"! Alianza Jilala.
Machiya akadakia"Milion 20 ushuru wa samaki pekee KWA Mwezi na HUKO zangeli dagaa zimefumuka na perege usiseme lakini Halmashauri inashindwa kukarabati Bara Bara hii kweli!!?
"Unajua ni nini !?Hujuma ndugu zangu Hujuma!!wafanyabiashara ambao hao hao ni viongozi wa chama tawala kama Yule Diwani WETU Nyati mwenye duka la Dawa,na Kasai yule mwenyekiti wakishirikiana na wafanyabiashara Mbali Mbali humhonga mkandarasi atengeneze chininl ya kiwango NDIO maana KILA mwaka inaharihika" Alieleza Mihambo!
Kivipi!?Adili akauliza
"Iko hivi mkandarasi anapoingia mkataba wa milion 20 au 30 za kukarabati Bara Bara , VIONGOZI wa chama na wafanyabiashara huchanga fedha hizi na kumpatia mkandarasi Ili asikarabati au afanye chini ya kiwango Ili Bara Bara isipitike kirahisi na wafanyabiashara wapandishe bei za bidhaa wapate faida KUBWA KWA kisingizio cha usafiri NDIO maana dozi ya malaria wanachukua mjini KWA sh.2500 au 2000 halafu wanakuja kuuza hapa kwetu KWA sh.4000 Hadi 4500/=, na bidhaa za vyakula kama mafuta kupikia juu ZAIDI"hivyo wanapata faida KUBWA Sana na kuwaumiza wananchi! Ndio maana Bara Bara hii Hadi Sasa hakuna chochote kinachoendelea na Hata akikarabati ni chini ya kiwango"!Alijibu Mihambo!!
"Kumbe viongozi wa ccm na wafanyabiashara ndio wanahujumu ilani ya chama chetu!?aliuliza jilala
"Sio wao tu hata mkurugenzi anajua hivyo anakula nao Sana cha juu"anafafanua Mihambo
Binafsi nimeshangazwa na kusikitishwa Sana nilipo sikia hii!je TAKUKURU, HALMASHAURI NA M-KITI WA CCM WILAYA YA UYUI NDUGU MAPOCHI ANAJUA HAYA YOTE!!?
Vyombo husika fanyeni uchunguzi juu ya tuhuma hizo mjue kwanini Bara Bara hii inahujumiwa!!?Nakukumbuka walihujumu Sana kujengwa kituo cha polisi Loya Hadi zile vurugu za Mwamabondo zilipotokea na kuripotiwa ndio kikajengwa KWA Kasi Sana ndani ya Mwezi MMOJA tu!!
Nimewasilisha kama yalivyo kwenye rekodi niliyopokea!!
Wahusika fanyeni kweli!