United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Woga tu mim mdogo angu hadi Leo ana duka la simu mawasiliano na alianzia Huko Huko ndio maana nimemwambia awe na jicho unazan Ata ukiuza nguo kama hujui kulenga utauza Kila biashara inaitaji umakini na hasara kwenye biashara zipo ila lazima ujue kunusa hasara inatokea wapHizo biashara uchelewi kuangushiwa jumba bovu, labda uwe na urafiki na mkuu wa kituo Cha polisi karibu na unapofanyia mishe zako.
Achana na biashara ya simu za mkononiBless up mkuu, hii mishe ya vitu used nimekupata but hii mishe ya simu inaendaje mkuu
Aisee! Hii iko poa sana! Na vipi kuhusu goli la kupigia hiyo mishe au sehemu ya kupigia mishe,choma mahind, utafanikiwa... kila muhind unauzwa 250, we ukichoma utauza mia tano, s6 faida ni 250, ukiuza mahind 100 kwa siku, utapata 25000, toa mkaa ukosi 20000. jiite mr mahind, tafuta dogo ukienda kupiga pind unamuacha ukimaliz unarud kijiwen. huduma y derivering inakuwepo
Riba haramu mkuuUna mzunguko mzuri wa hela, kopesha wenzako kwa riba ya 15% hadi 20% ndani ya mwezi. Lakini ujiandae kupambana na wasiorudisha