United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Woga tu mim mdogo angu hadi Leo ana duka la simu mawasiliano na alianzia Huko Huko ndio maana nimemwambia awe na jicho unazan Ata ukiuza nguo kama hujui kulenga utauza Kila biashara inaitaji umakini na hasara kwenye biashara zipo ila lazima ujue kunusa hasara inatokea wapHizo biashara uchelewi kuangushiwa jumba bovu, labda uwe na urafiki na mkuu wa kituo Cha polisi karibu na unapofanyia mishe zako.