martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
Habari wakuu,
Naomba kukutana kwa wadau wote wajasiriamali na wafanyabiashara wa vyuoni ili kujadiliana masuala mbalimbali kuhusiana na michongo ya pesa na fursa kibao za kibiashara.
As well as namna ya kuendesha biashara ukiwa chuoni bila interruption za masomo na management nzuri ya muda na kitabu.
Pia biashara gani rahisi na nzuri ukiwa chuoni, na kujulishana fursa za kibiashara kwa vyuo mbalimbali.
Karibuni sana.