johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tena wanaroho za shetaniAwamu ya tano inaviongozi wenye roho zakimasikini sana
Awamu ya tano inaviongozi wenye roho zakimasikini sana
Mpanda kabungu au siyotatizo elimu
Tatizo lilianza mapema mwezi Jana pale mamlaka zilipoamuru magari tote ya abiria yapakie na kushusha stendi kuu ilojengwa nje ya mji wa Songea (shule ya tanga)Tujulishe changamoto zao,ili tuwezekujua na kutoa michango ipasavyo.
Pumbavu mkubwa wewe....!!!!!Hao dawa yao viboko tu. Unawatandika hadi akili inakuja
Mabavu wakati mwingi hayana,tija ila busara yaweza kuwa na tija na pengine dawa ya tatizo .Hao dawa yao viboko tu. Unawatandika hadi akili inakuja
Asante kwa ufafanuziTatizo lilianza mapema mwezi Jana pale mamlaka zilipoamuru magari tote ya abiria yapakie na kushusha stendi kuu ilojengwa nje ya mji wa Songea (shule ya tanga)
Hii imepelekea maduka kuzunguka stendi ya mjini Kati kukosa wateja, stendi mdogo ya majengo pia imefungwa ikiwaacha wadau waliowekeza mitaji yao maeneo hayo bila wateja.
Hii kwanza ilipelekea nauli kupanda kwa baadhi ya maeneo kwakua umbali uliongezeka toka shule ya tanga Hadi maeneo husika mfano peramiho nauli ilipanda toka 1000 Hadi 2000
Leo wafanyabiashara wa maduka ya jumla, mafuta, pamoja na wale wanaosafirisha abiria ndani ya mkoa wametia mgomo kushinikiza utaratibu wa awali wa kupakia na kushusha ktk vituo vilivyofungwa.
Halimashauri inapoteza mapato kwa kuzuia shughuli ktk vituo hivi.
Wangeacha mabasi ya mikoani kupakia shule ya tanga na Seedfarm, lakini kwa ndani ya mkoa basi majengo, msamala, lizaboni na mjini Kati waendelee vilevile.
Walimruka kiongozi wa wilaya wakaenda moja kwa moja wilayani?Nao kwa nini walimruka kiongozi wa wilaya wakaenda moja kwa moja wilayani?
Amandla...
Asante mkuu kuna vijitu sijui vipoješ¤Pumbavu mkubwa wewe....!!!!!