kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Umeishachapwa vingapi hapo kwani?Hao dawa yao viboko tu. Unawatandika hadi akili inakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeishachapwa vingapi hapo kwani?Hao dawa yao viboko tu. Unawatandika hadi akili inakuja
Walimruka kiongozi wa wilaya wakaenda moja kwa moja wilayani?
Huyu DC ni mjinga, hapo anatatua tatizo au anazima moto kwa kutumia mafuta!!!!Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Songea ndugu Cosmas ameibuka na kutoa saa 24 wafanyabiashara hao wafungue maduka vinginevyo watapata tabu sana.
Ninamshauri TRA iwapatie elimu wafanyabiashara namna ya kufunga biashara wananchi , kwani hatataki tena kufanya biashara mitajibyao inapoteaWafanyabiashara na wasafirishaji wa Songea mjini wamegoma wakitaka kukutana na viongozi wa mkoa ili kutatua changamoto zinazowakabili.
Wafanyabiashara hao wamedai wanafanya kazi katika mazingira magumu sana na mitaji yao inazidi kufa.
Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Songea ndugu Cosmas ameibuka na kutoa saa 24 wafanyabiashara hao wafungue maduka vinginevyo watapata tabu sana.
Nao LATRA wamefuti ruti ya mabasi yatokayo Songea mjini kwenda Mbinga kufuatia mgomo huo.
Chanzo: ITV habari.
Maendeleo hayana vyama!