Wafanyabiashara na Wasafirishaji wagoma Songea wakitaka kuonana na viongozi wa mkoa, DC Cosmas atoa saa 24

Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Songea ndugu Cosmas ameibuka na kutoa saa 24 wafanyabiashara hao wafungue maduka vinginevyo watapata tabu sana.
Huyu DC ni mjinga, hapo anatatua tatizo au anazima moto kwa kutumia mafuta!!!!

That is not a scientific approach of addressing a problem, kiujumla hayo ndiyo matokeo ya watu kupanga mipango na kufanya maamuzi wakiwa wamejifungia bila kuwashirikisha wananchi ambao kwa wingi wao ndiyo end users
 
Ninamshauri TRA iwapatie elimu wafanyabiashara namna ya kufunga biashara wananchi , kwani hatataki tena kufanya biashara mitajibyao inapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…