Wafanyabiashara pitieni hapa

Wafanyabiashara pitieni hapa

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,011
Reaction score
4,705
Wakuu natoa huduma zifuatazo:

1. Natengeneza website za aina zote, blog n.k

2.Natoa huduma za E-comerce, App za kihasibu kama vile quickboks,microsoft 360 na software nyingine za kihasibu au za mahesabu kwa wafanyabiashara na wamiliki wa makampuni.

3. Pia natoa huduma nyingine zote zinazohusiana na Matatizo ya Computer.

4. kufunga mifumo ya ulinzi majumbani na maofisini, cctv camera n.k

Pia kuweka window kwenye computer, software aina zote kufungua na kuwezesha kwa radio za mtandaoni (online radio) za aina mbalimbali kwa ajili ya kurusha matangazo

Pia kwa wafanyabiashara,kampuni au taasisi zinazohitaji mtu wa kuhost social networks kama instgram, facebook na twitter pia huduma za Bulk sms, biashara mtandao, duka mtandao n.k

Huduma zote ni kwa bei nafuu sana, napatikana Dar es salaam mara chache, handeni muda mwingi kwa sasa nipo Kigoma Mjini.

Nakufuata popote ulipo

MAWASILIANO bussinessolution@mail.com
 
inategemea na ukubwa na matumizi yake ila kuanzia 1M
Website designing from the scratch we are charging by number of pages. About hosting is up to client but we can advice them where they can host. Simple and Smooth running.
 
Website designing from the scratch we are charging by number of pages. About hosting is up to client but we can advice them where they can host. Simple and Smooth running.
ndio maana nikamuambia inategemea na ukubwa
 
Back
Top Bottom