johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Vyeo vya uchungaji na uaskofu huko CCM vimeanza lini?Wafate ushauri wake, waanzie Kwa mchungaji
Labda hautaki u-DC.Kuna watu walibebwa na mwendazake kwa ajili tu ya kuwa ni wa ukaya. Kheri James anapaswa kusoma alama za wakati.
Hahahaaaa! Wako kina Gwajima bwashee!Vyeo vya uchungaji na uaskofu huko CCM vimeanza lini?
Hii ndio dalili mojawapo ya wajinga waliovimbiwa madaraka.
Labda hautaki u-DC.
Ujue kwa sasa yupo kundi moja na Lijualikali, Joshua Nassary na Mashinji!
Kuna watu walibebwa na mwendazake kwa ajili tu ya kuwa ni wa ukaya. Kheri James anapaswa kusoma alama za wakati.
Huu ndio ukweli, DC amewaambiwa warudi wafanye biashara na kibaya sana sasa wanafunga hadi barabara na kufanya kuwepo na foleni muda wote.
Mzee Makala tembele eneo hili uone namna DC wako anavyohujumu juhudi zenu na Raisi Mama Samia ktk kuweka miji yetu ktk hali ya mpangilio.
Bwashee huyu ni mpwa wa Mwendazake ni miongoni wanaoishi kwa msaada wa unasabaLabda hautaki u-DC.
Ujue kwa sasa yupo kundi moja na Lijualikali, Joshua Nassary na Mashinji!
Kuna watu walibebwa na mwendazake kwa ajili tu ya kuwa ni wa ukaya. Kheri James anapaswa kusoma alama za wakatil
Mwingine yupi Ludewa DEDHeri James na Dotto James ni watoto wa Dada yake na Mwendazake.