babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hujanunua unamkomoa nani sasa we mbwiga,kuna siku hao wanauza wamekuja kuomba kula kwako?Nimepita hapo stendi zaidi ya mara 50 lakini sikuwahi kununua chochote, hii ni kwa sababu si lazima abiria kununua kitu hapo stendi, sasa wanacholilia ni nini?
Naheshimu mitazamo yao,ila kwa akili ya kawaida swali analopaswa kujiuliza mtu mwenye akili ni kua abiria wamewafuata wao au huduma za usafiri? Wao ni kunifaika ni by product ya mchakato mzima wa usafiri.
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa mabasi angeivimbia serikali namna hiii?
Halafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa maslahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayohitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John Pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
Jf isiruhusu vichaaHujanunua unamkomoa nani sasa we mbwiga,kuna siku hao wanauza wamekuja kuomba kula kwako?
Ununue,usinunue potelea pwete maskini jeuri wataishi.
We endelea kulamba mitako huko kwenye saccos yenu.
nimesema hivi:-Wangejua haihitaji kuwa na gharama wangewaambia kuongeza nauli yote ile?? Mbona walikaza hd mkapandishiwa nauli leo ndo waje kuwaonea huruma eti tunakusogeza hd ofsini
Rudi kwenye uchumi update intro ya public goods halafu urudi. Kama nimeuhujumu bila kuuza bure ardhi, bandari na madini yetu hata siwazi.W
Wewe ni Muhujumu uchumi
kwamba gari ikitoka Ubungo hairuhusiwi kupakia tegeta?Sio Kwa context hiyo ila fikiria umetoka Mbagala unafuata gari Magufuli Kwa sababu watu na viduka vyao havipati wateja. Au mtu atoke Tegeta Kuja Magufuli halafu gari lipite pale pale Tegeta likiwa linatoka. Ni umbuzi tu ndo unaweza kufanya mtu afikirie hivyo.
😂️😂️😂️😂️😂️😂️ Kwamba ni mikosi tu kwa kwenda mbele 😂️😂️😂️Stendi inaitwa Magufuli mnategemea nini!
Ni sawa na watoto unawapa majina ya Sikudhani, Chaupepo, Masumbuko, Majuto nk.
Hawa wanaopiga kelele wanataka watu wote walifuate gari Magufuli. Hata kama upo njia gari linapita lazima uje Magufuli kulifuta. Hapo ndo kizungumkuti kinapoanzia. Na kushika vivyo hivyo. Lengo mfike pale mlale gesti, mnunue chakula, mikate na maji. Hivyo tu wao watafurahi hata kama utapoteza 50,000 kwenye hiyo mitikasi wao ni furahakwamba gari ikitoka Ubungo hairuhusiwi kupakia tegeta?
Tukipata nafasi tunawarudisha njia kuuuAchilia mbali kwamba hoja yako ni ya kijinga bali pia iko nje ya mada
Kwanza na ww umeona wapi mkoa mzima uwe na kituo kimoja cha mabasiHiko sikatai lakini mfumo ilitakiwa Mfumo wote wa Mabasi makubwa:Kuanzia stendi hadi Karakana ni zikae nje ya mji....
Soko huru bila kufuata mipango mji ni ukichaa,,,,ndiyo maana sikuhizi kuna sheri mpaka karibu na Masoko....Shule zimejengwa karibu na Barabara
Wewe naye, ndege inaweza kushusha abiria popote? Ingewezekana hata ndege zingefanya hivyo. Wakati serikali inataka kujenga kule , wadau mbalimbali walishauri stendi ibaki ubungo sababu kunafikika kirahisi. Wakakaza fuvu, mtokeo ndio hayo.Mbona ndege huwa hamuombi mshushwe kwenu mnakubali kwenda airport? Utaratibu wa vituo ni muhimu sana, mkifanya shaghala baghala msilalamikie mfumo na utaratibu wa serikali.
Sasa Stand ya bus ya nini kama unaweza panda na kushuka popote?
Unajibizana na bwege mkuu, achana naeHuyo Hassan ana ubavu wa kufunga ofisi za shabbiby au abood pale Ubungo?
Watu hamtaki utaratibu, Tukitaka tuendelee tufuate utaratibu. Kama kuna haja ya kuwa na Bus terminal /stand kila wilaya basi lifanyike, lakini vituo vilivyopo viheshimike.Hiyo stendi ipo wilaya ya Ubungo.
Temeke, Kinondoni, Ilala, Kigamboni hawana stendi ya Mabasi ya Mkoani.
Hivyo utaratibu wa sasa uendelee lakini iwe kwa sharti kuwa magari yote yatakayopotia barabara ya chalinze ambapo kuna halmashauri ya Ubungo basi yaingie Stendi ya Magufuli.
Umeelewa
Sina kazi, nipo hapa kutoa stress zangu, au pia siruhusiwi?Ulishatoa mada, jukwaa zima limetofautiana na wewe ungekuwa muungwana ungejitafakari lakini wewe michango ya kukomaa naiona unajibu kila mchango wa mwanajukwaa. Katafute biashara nyingine.
Sio lazma biashara zenu ziwe stand yapo maeneo mengi sana dar yanahitaji hizo biasharaKwa hiyo na ndege zifuate abiria walipo? Kuna haja gani ya kutumia pesa nyingi kujenga stendi??
NB: Arusha mbaki na stendi yenu maana tumeona hazina umhimu.
Unamawazo mepes sana, unatoa maboko sanaAngalia hili sukuma gang lilivyofura! Mungu wa Chato kafa. Kaa kwa kutulia.
Uchaguzi ujao hata wabunge wa maeneo yenu watatoka huku mjini. Anatumwa mtu kuja kuvuta fomu huko, kura za maoni hata akiwa wa mwisho anapitishwa na watoto wa mjini kuwa mgombea. Halafu atatangzwa kwa nguvu ya dola.
Sukuma gang mwafwa!
Mmiliki akishaamua hawa kenge wanaumia nini? Watafute mabus yao yaishie hapohapoSafi kabsa Kila abiria afuatwe nyumbani kwake.
Mbona wa ubungo hawalalamiki biashara zao kufa au mnahis wao sio walipa kodi? Tafuteni kazi kuku nyie na tena tuliamua abiria hata maji tutakuwa tunanunua stand ya kibaha muone mambo yanavyoendaSio kila kinachokujia kichwani unaandika, kaangalie nilichoandika uje tujadili, wapi nimesema guest house? Niliongelea na kusisitiza kufanya biashara hiyo kwa utaratibu.
Stand ya bus imejengwa, lakini kuna watu badala ya kupakia na kushusha abiria ndani ya stand wanaanzisha vituo vya nje, kushusha na kupakia, hiyo siyo sawa.
Ndio maana nikauliza stand ilikuwa na haja gani kama kila mtu ataamua kushusha na kupakia popote? Hao watoa huduma hunufaika tu pale mteja anapolazimika kutumia huduma zao, hakuna mtu analazimishwa kutumia huduma yoyote ndani ya stand ya buses. Ila utaratibu ni ustaarabu, nini kinawafanya wasishushe abiria ndani ya stand au kupakia ndani ya stand maalum, badala yake kupandisha na kushusha abiria, Urafiki au vituo visivyo rasmi?
Unanishambulia lakini sijui hata kama unaelewa mantiki ya hoja yangu.
Anyway, fikiri utakavyo hayo yalikuwa mawazo yangu.