Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

Nimepita hapo stendi zaidi ya mara 50 lakini sikuwahi kununua chochote, hii ni kwa sababu si lazima abiria kununua kitu hapo stendi, sasa wanacholilia ni nini?
Hujanunua unamkomoa nani sasa we mbwiga,kuna siku hao wanauza wamekuja kuomba kula kwako?
Ununue,usinunue potelea pwete maskini jeuri wataishi.
We endelea kulamba mitako huko kwenye saccos yenu.
 

Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.

Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa mabasi angeivimbia serikali namna hiii?

Halafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa maslahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayohitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .

Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John Pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
Naheshimu mitazamo yao,ila kwa akili ya kawaida swali analopaswa kujiuliza mtu mwenye akili ni kua abiria wamewafuata wao au huduma za usafiri? Wao ni kunifaika ni by product ya mchakato mzima wa usafiri.


Hata stand haikujengwa hapo ili iwanufaishe, wao wamefuata kwa kuzingatia kanuni ile ile ya mlishano wa kiuchumi ila ni as if wao wana athirika zaidi.. mtu anakaa magomeni mfano aache kupandia Katarama shekilango aendw mpaka mbezi mwisho? Au unakuja na gari la kutoka dodoma unaishi manzese ushukie mbezi mwisho badala ya Manzese argentina kwenye ofisi kuu ya gari.? Nawaza tu.


Wakumbuke hii kitu ilishashindikana mwanzo pamoja na nguvu kubwa iliyotumika kuwarudisha mabasi yasipakie ofisini kwao yaaanzie stand kuu mbezi.

Ngoja tuone busara itakavyoamua...
 
Wangejua haihitaji kuwa na gharama wangewaambia kuongeza nauli yote ile?? Mbona walikaza hd mkapandishiwa nauli leo ndo waje kuwaonea huruma eti tunakusogeza hd ofsini
nimesema hivi:-
pamoja na 1.kufanya biashara lakini pia 2.wanatoa huduma
Namba moja hakuna biashara ya hasara.

namba 2 kusogeza huduma karibu na mteja kunampunguzia garama za kuifuata mbali
 
Stendi inaitwa Magufuli mnategemea nini!

Ni sawa na watoto unawapa majina ya Sikudhani, Chaupepo, Masumbuko, Majuto nk.
 
Sio Kwa context hiyo ila fikiria umetoka Mbagala unafuata gari Magufuli Kwa sababu watu na viduka vyao havipati wateja. Au mtu atoke Tegeta Kuja Magufuli halafu gari lipite pale pale Tegeta likiwa linatoka. Ni umbuzi tu ndo unaweza kufanya mtu afikirie hivyo.
kwamba gari ikitoka Ubungo hairuhusiwi kupakia tegeta?
 
Stendi inaitwa Magufuli mnategemea nini!

Ni sawa na watoto unawapa majina ya Sikudhani, Chaupepo, Masumbuko, Majuto nk.
😂️😂️😂️😂️😂️😂️ Kwamba ni mikosi tu kwa kwenda mbele 😂️😂️😂️
 
kwamba gari ikitoka Ubungo hairuhusiwi kupakia tegeta?
Hawa wanaopiga kelele wanataka watu wote walifuate gari Magufuli. Hata kama upo njia gari linapita lazima uje Magufuli kulifuta. Hapo ndo kizungumkuti kinapoanzia. Na kushika vivyo hivyo. Lengo mfike pale mlale gesti, mnunue chakula, mikate na maji. Hivyo tu wao watafurahi hata kama utapoteza 50,000 kwenye hiyo mitikasi wao ni furaha
 
Hiko sikatai lakini mfumo ilitakiwa Mfumo wote wa Mabasi makubwa:Kuanzia stendi hadi Karakana ni zikae nje ya mji....

Soko huru bila kufuata mipango mji ni ukichaa,,,,ndiyo maana sikuhizi kuna sheri mpaka karibu na Masoko....Shule zimejengwa karibu na Barabara
Kwanza na ww umeona wapi mkoa mzima uwe na kituo kimoja cha mabasi
Mtumie akili basi wakati wa kuchangia
Yaani Dar yote stand ya mabasi ni mbagala na Magufuli si uchizi huo
 
Mbona ndege huwa hamuombi mshushwe kwenu mnakubali kwenda airport? Utaratibu wa vituo ni muhimu sana, mkifanya shaghala baghala msilalamikie mfumo na utaratibu wa serikali.

Sasa Stand ya bus ya nini kama unaweza panda na kushuka popote?
Wewe naye, ndege inaweza kushusha abiria popote? Ingewezekana hata ndege zingefanya hivyo. Wakati serikali inataka kujenga kule , wadau mbalimbali walishauri stendi ibaki ubungo sababu kunafikika kirahisi. Wakakaza fuvu, mtokeo ndio hayo.
 
Hiyo stendi ipo wilaya ya Ubungo.
Temeke, Kinondoni, Ilala, Kigamboni hawana stendi ya Mabasi ya Mkoani.
Hivyo utaratibu wa sasa uendelee lakini iwe kwa sharti kuwa magari yote yatakayopotia barabara ya chalinze ambapo kuna halmashauri ya Ubungo basi yaingie Stendi ya Magufuli.

Umeelewa
Watu hamtaki utaratibu, Tukitaka tuendelee tufuate utaratibu. Kama kuna haja ya kuwa na Bus terminal /stand kila wilaya basi lifanyike, lakini vituo vilivyopo viheshimike.

Lakini hao wachache wanaotaka kupandisha na kushusha abiria nje ya vituo halali sio sawa.
 
Ulishatoa mada, jukwaa zima limetofautiana na wewe ungekuwa muungwana ungejitafakari lakini wewe michango ya kukomaa naiona unajibu kila mchango wa mwanajukwaa. Katafute biashara nyingine.
Sina kazi, nipo hapa kutoa stress zangu, au pia siruhusiwi?
 
Kwa hiyo na ndege zifuate abiria walipo? Kuna haja gani ya kutumia pesa nyingi kujenga stendi??
NB: Arusha mbaki na stendi yenu maana tumeona hazina umhimu.
Sio lazma biashara zenu ziwe stand yapo maeneo mengi sana dar yanahitaji hizo biashara

Mkishindwa fungeni milango watakuja wengine watakao weza

Gari hapo hata miambiwa zikae hapo zote hapatoshi makamapuni mawili tu yatajaza

Abooud
Shabiby
New force

Sema dar mnajikuta kama malast born wa taifa mamaee kazeni

Dodoma hatusikii kelele shabiby anaeneo lake na anaanzia hapo ndio stand kuu
Tangu enzi scandinavia alikuwa na stand yake champion pia

Acheni wivu wa kike
Sasa bus linalala kigamboni na kuna watu wa k8gamboni mnataka liende tupu hizo gharama mtawapa nyie
Huyu muislamu wa hovyo sana

Ndo anasababisha uislamu uonekane kitu kibaya
 
Angalia hili sukuma gang lilivyofura! Mungu wa Chato kafa. Kaa kwa kutulia.

Uchaguzi ujao hata wabunge wa maeneo yenu watatoka huku mjini. Anatumwa mtu kuja kuvuta fomu huko, kura za maoni hata akiwa wa mwisho anapitishwa na watoto wa mjini kuwa mgombea. Halafu atatangzwa kwa nguvu ya dola.

Sukuma gang mwafwa!
Unamawazo mepes sana, unatoa maboko sana

Kaza mtoto wa mama mkwe usijilemaze mwili kwa akili zako za we we nani alikwambia msafir anakuja kununua bidhaa stand kwan kariakoo karume magomeni posta kinondon makumbusho hawapajui? Mwenge hawapajui mliman city pale

Hapo ni kusafir tu
 
Dunia ya leo mfanyabiashara ndo anamfata mteja alipo na sio kinyume chake, nyinyi tokeni hapo mbezi mkatembeze bidhaa zenu Urafiki msindelee kupoteza muda.

Huo mradi kibiashara ni hasara
 
Sio kila kinachokujia kichwani unaandika, kaangalie nilichoandika uje tujadili, wapi nimesema guest house? Niliongelea na kusisitiza kufanya biashara hiyo kwa utaratibu.

Stand ya bus imejengwa, lakini kuna watu badala ya kupakia na kushusha abiria ndani ya stand wanaanzisha vituo vya nje, kushusha na kupakia, hiyo siyo sawa.

Ndio maana nikauliza stand ilikuwa na haja gani kama kila mtu ataamua kushusha na kupakia popote? Hao watoa huduma hunufaika tu pale mteja anapolazimika kutumia huduma zao, hakuna mtu analazimishwa kutumia huduma yoyote ndani ya stand ya buses. Ila utaratibu ni ustaarabu, nini kinawafanya wasishushe abiria ndani ya stand au kupakia ndani ya stand maalum, badala yake kupandisha na kushusha abiria, Urafiki au vituo visivyo rasmi?
Unanishambulia lakini sijui hata kama unaelewa mantiki ya hoja yangu.

Anyway, fikiri utakavyo hayo yalikuwa mawazo yangu.
Mbona wa ubungo hawalalamiki biashara zao kufa au mnahis wao sio walipa kodi? Tafuteni kazi kuku nyie na tena tuliamua abiria hata maji tutakuwa tunanunua stand ya kibaha muone mambo yanavyoenda
 
Back
Top Bottom