Wafanyabiashara Tandika wagoma kufungua Maduka, wakipinga Meza za Machinga mbele ya maduka yao

Wafanyabiashara Tandika wagoma kufungua Maduka, wakipinga Meza za Machinga mbele ya maduka yao

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgomo wa kufunga maduka katika baadhi ya Mitaa ya soko la Tandika Temeke mkoani Dar es Salaam, umeendelea kwa kipinga kuwekwa kwa meza za machinga mbele ya maduka yao kwa madai ya kuwa utaratibu huo ni kandamizi kwa biashara zao, huku wakitaka viongozi wa Manispaa ya Temeke kutii agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kutaka watu kutopanga biashara mbele ya maduka ya wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilipa kodi, kama wafanyabiashara wengine.

 
Wanaweza kushikila bomba kwa muda gani ? Tanzania hii ishu ya machinga haikwepeki
 
Back
Top Bottom