Wafanyabiashara tu: Come update mikopo nafuu na kwa haraka

Kwaiyo niki visit ofisini kwenu nikuulizie kwa jina tajwa la hapa jf au... Coz mm dhamana ninazo na benki statement yangu ya kampuni ila haijakaa powa sana kwa pesa ninayohitaji utasaidiaje mkuu??

Mkuu, tuwasiliane ukiwa upo tayari kuja, na jina ni Ibrahim mkuu.

Bank nzuri ambayo inatoa mikopo ya biashara bila longo longo na riba ni nzuri ni Equity Bank.. Ijaribu, hutojuta

Hayo ni maoni yako mkuu, siwezi kukupinga. ila Icb tunatoa mikopo hasa kwa kuzingatia vigezo na masharti yetu pasi upendeleo na kwa kuzingatia muda mkuu. 50 mil, 2.5 bil hadi 4.5 bil as long as mteja ana kidhi vigezo na masharti yaaani yupo genuine.
 
Mkuu, I didn't say u don't.. But I named the other useful institution as well.

And yes, I'll save your number for inquiries later on.. Nadhani hamtoniangusha..
 
Mkuu, I didn't say u don't.. But I named the other useful institution as well.

And yes, I'll save your number for inquiries later on.. Nadhani hamtoniangusha..

  • as long as mteja ana kidhi vigezo na masharti yaaani NA upo genuine....WALA USIJALI, MAANA HATUTOKUANGUSHA MKUU.

Sijui kwanini huwa naogopa sana kukopa pesa katika isiyofahamika sana.
 
Bank nzuri ambayo inatoa mikopo ya biashara bila longo longo na riba ni nzuri ni Equity Bank.. Ijaribu, hutojuta

Nina duka dogo na Access walinipa bila masharti makubwa na sijawaangusha mpaka sasa .Ni wazuri.Security ni duka lako mwenyewe.Hawana pia hidden costs
 
Marhabaaa!
 
Nina duka dogo na Access walinipa bila masharti makubwa na sijawaangusha mpaka sasa .Ni wazuri.Security ni duka lako mwenyewe.Hawana pia hidden costs

Kwa kweli access hawana longo longo dhamana duka lako na vifaa vya nyumbani kwako. Nilikopa nikamaliza deni kwa Mwaka mmoja
 
Kwa kweli access hawana longo longo dhamana duka lako na vifaa vya nyumbani kwako. Nilikopa nikamaliza deni kwa Mwaka mmoja

vipi mkuu mimi nina saluni ya kike kwahyo sina bank statement wala nini vipi wanaweza kunipa?
 
vipi mkuu mimi nina saluni ya kike kwahyo sina bank statement wala nini vipi wanaweza kunipa?

Hawa jamaa hawahitaji bank statement wala account information. Utakacho kifanya ni kufungua akaunti hapo kwao kwa ajili ya kukuwekea huo mkopo na pia kurejesha ni through hiyo akaunti. Uwe na wadhamini wawili ambao ni wafanyakazi that's enough. Kama upo karibu na kijitonyama nenda ukapate maelekezo
 
Watu wabishi kweli.Yaani uzi umepandiwa na uzi mwingine.
Sim ipo Bank inaeleweka ilipo then watu bado tumekariri bank ambazo zinatangazwa kwente TV tu
 
Ibrahim hembu nipe uelewa wako hapa na wengine wenye kujua.

Natumia references kwa upande wa huku Zanzibar.
Unajua Investors wengi wakija huku sio siri wanakuja na briefcase.Ila wanapewa access ya kukopa Bank kwa kuwa ni wazungu au sie wazawa uelewa wetu unakuwa mdogo au vipi.Wengi huwa na Business plans kali.
Kwa ushahidi nilionao ni mkwamba kuna baadhi ya Hotels hizi mid class zipo chini ya Banks,na baadhi yao wamiliki walishindwa kufanya marketing nzuri kwenye soko la utalii kibiashara then Bank inaziuza kwa kushindwa kufanya rejesho.

Sasa je Bank zinatumia njia ipi kukopesha watu kama hawa.
Nimesema hivyo kwa kuwa,endapo kama Dhamana inayotumika mfano ni Ardhi ambapo baadhi ya wazungu wakija huku wanaongea na Owners wa beach plot kisha inafanyika land transfers halafu baada ya kufanya hivyo mmiliki mpya anachukua mkopo bank kulingana na project yake kisha anamlipa mwenye Ardhi chake yeye anaendelea na Biashara zake.

Je kwa wazawa Bank yenu inawasaidia vipi,maana Banks nyingi zinaamini kwamba foreign investors kwamba wanafanya vizuri kwenye soko.Wakati Local inverstors wengi kwenye soko ndio wapo Stable zaidi.Na ndio maana nimetoa huo mfano kwamba kuna Hotels ndogo huku Zanzibar zinawekwa sokoni na Bank kwa kuwa mteja alishindwa kufanya rejesho kama ilivyo kubalika kati yake na Bank.

Kwa point hiyo,if jibu ni kwamba inawezekana kwa wote.
Mie nina friend of mine,ana Lodge yake binafsi although anayozaidi ya moja na anauza moja ili aweze ku concentrate kwenye nyingine.
Je mfano mtu kama huyu akatokea mtu akaongea na mmiliki,kisha ikafanyika property transfer then bank ikampatia new onwer mkopo ili property iwe under bank mpaka new owner amalize deni.Je nyie kama Bank hiki kitu kinakuwa kinafanyika vipi.
Maana tunaona kwa Foreigners wakija wanapeta tu,sasa hembu wajuzi tupeni ufafanuzi hapo.
 
Wadau, kwa wale walio genuine tuu, nawakaribisha sana. Nashukuru kwa walio nicheki na ambao mpaka sasa tupo kwenye hatua nzuri. karibu sana.
 
Mkuu, kwanza sorry kwa kuchelewa kuona swali lako,

pia mkuu, nikirejea kwenye point yako ni kwamba, asilimia kubwa ya investors wa ain hiyo huwa wanakua sapoted na bank za makwao. yaani chanells zote hutoka nazo huko watokako so kwa inakua rahisi kuaminika hapa bongo hasa na local banks sababu ya sapoti wanayopewa na bank za kwa zinazooperate hapa nchini.

hiyo ndo sababu kwangu mkuu, ingawa zinaeza kua nyingi nyingi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…