misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Bank nzuri ambayo inatoa mikopo ya biashara bila longo longo na riba ni nzuri ni Equity Bank.. Ijaribu, hutojuta
Kweli kaka??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bank nzuri ambayo inatoa mikopo ya biashara bila longo longo na riba ni nzuri ni Equity Bank.. Ijaribu, hutojuta
Marhaba nimekutumia emails kwenye Private and Office email.
Baada ya kupata maelezo ya kutosha kutoka kwa muhusika.
Kwaiyo niki visit ofisini kwenu nikuulizie kwa jina tajwa la hapa jf au... Coz mm dhamana ninazo na benki statement yangu ya kampuni ila haijakaa powa sana kwa pesa ninayohitaji utasaidiaje mkuu??
Bank nzuri ambayo inatoa mikopo ya biashara bila longo longo na riba ni nzuri ni Equity Bank.. Ijaribu, hutojuta
Hayo ni maoni yako mkuu, siwezi kukupinga. ila Icb tunatoa mikopo hasa kwa kuzingatia vigezo na masharti yetu pasi upendeleo na kwa kuzingatia muda mkuu. 50 mil, 2.5 bil hadi 4.5 bil as long as mteja ana kidhi vigezo na masharti yaaani yupo genuine.
Mkuu, tuwasiliane ukiwa upo tayari kuja, na jina ni Ibrahim mkuu.
Mkuu, I didn't say u don't.. But I named the other useful institution as well.
And yes, I'll save your number for inquiries later on.. Nadhani hamtoniangusha..
Bank nzuri ambayo inatoa mikopo ya biashara bila longo longo na riba ni nzuri ni Equity Bank.. Ijaribu, hutojuta
Wadau,
Je, Wewe ni mfanyabiashara? na je Biashara yako imesajiliwa? na Jeu na nia ama mawazo ya kujitanua zaidi kibiashara? na je, una tenda mpya on the way na unahitaji kua funded ili kurahisisha utekelezaji wa tenda yako?
Basi International Commercial Bank tupo tayari kukusaidia...
Tunatoa Mikopo kama vile Overdraft na term loans Mahsusi ka ajili ya wafanyabiashara wa aian zote.
1. Term Loan
- Mkopo huu unatoka kwa kati ya miaka 3, 5 hadi 10
- Mkopo huu uaaniza 100mil hadi 2.5 bil
- Mkopo huu haswa ni kwa ajili ya longterm investments (Projects) kwa wale ambao wako kwenye biashara kwa sasa na wanauhitaji wa kuinvest zaidi.
- Mkopo huu, Ni kwa ajili ya kujitanua kibiashara kwa wafanyabiashara wa aina tofauti tofauti.
2. OverDraft
- Mkopo huu kwa jina jingine unafahamika kama "Working Capital"
- Mkopo huu unatoka kwa maximum 1 year
- Mkopo huu interest huchajiwa riba kwenye kiasi kilichotumika tuu.
- Mkopo Huu ni working capital kwa wafanyabiashara wenye uhitaji wa kua boosted financially so as kurahisisha utekelezaji wa project flani ama mizigo fani e.t.c
NB: ZINGATIA VIGEZO:
1. Dhamana-Iwe mali isiyohamishika.
2. Bank Statement- Kuonyesha mzunguko wa biashara yako kibenki, na iwe ya bank yoyote ile.
Kwa Mawasiliano Zaidi,
Contact ME:
Email- Ibrahim@icbank-tz.com
Line- +255 22 2150094
Mobile- 0652590519
Nina duka dogo na Access walinipa bila masharti makubwa na sijawaangusha mpaka sasa .Ni wazuri.Security ni duka lako mwenyewe.Hawana pia hidden costs
Kwa kweli access hawana longo longo dhamana duka lako na vifaa vya nyumbani kwako. Nilikopa nikamaliza deni kwa Mwaka mmoja
vipi mkuu mimi nina saluni ya kike kwahyo sina bank statement wala nini vipi wanaweza kunipa?
Kwaiyo niki visit ofisini kwenu nikuulizie kwa jina tajwa la hapa jf au... Coz mm dhamana ninazo na benki statement yangu ya kampuni ila haijakaa powa sana kwa pesa ninayohitaji utasaidiaje mkuu??[QUOTE
SI UMEWEKEWA NAMBA YA SIMU HAPO, PIGA KWA MAWASILIANO ZAIDI
Ibrahim hembu nipe uelewa wako hapa na wengine wenye kujua.
Natumia references kwa upande wa huku Zanzibar.
Unajua Investors wengi wakija huku sio siri wanakuja na briefcase.Ila wanapewa access ya kukopa Bank kwa kuwa ni wazungu au sie wazawa uelewa wetu unakuwa mdogo au vipi.Wengi huwa na Business plans kali.
Kwa ushahidi nilionao ni mkwamba kuna baadhi ya Hotels hizi mid class zipo chini ya Banks,na baadhi yao wamiliki walishindwa kufanya marketing nzuri kwenye soko la utalii kibiashara then Bank inaziuza kwa kushindwa kufanya rejesho.
Sasa je Bank zinatumia njia ipi kukopesha watu kama hawa.
Nimesema hivyo kwa kuwa,endapo kama Dhamana inayotumika mfano ni Ardhi ambapo baadhi ya wazungu wakija huku wanaongea na Owners wa beach plot kisha inafanyika land transfers halafu baada ya kufanya hivyo mmiliki mpya anachukua mkopo bank kulingana na project yake kisha anamlipa mwenye Ardhi chake yeye anaendelea na Biashara zake.
Je kwa wazawa Bank yenu inawasaidia vipi,maana Banks nyingi zinaamini kwamba foreign investors kwamba wanafanya vizuri kwenye soko.Wakati Local inverstors wengi kwenye soko ndio wapo Stable zaidi.Na ndio maana nimetoa huo mfano kwamba kuna Hotels ndogo huku Zanzibar zinawekwa sokoni na Bank kwa kuwa mteja alishindwa kufanya rejesho kama ilivyo kubalika kati yake na Bank.
Kwa point hiyo,if jibu ni kwamba inawezekana kwa wote.
Mie nina friend of mine,ana Lodge yake binafsi although anayozaidi ya moja na anauza moja ili aweze ku concentrate kwenye nyingine.
Je mfano mtu kama huyu akatokea mtu akaongea na mmiliki,kisha ikafanyika property transfer then bank ikampatia new onwer mkopo ili property iwe under bank mpaka new owner amalize deni.Je nyie kama Bank hiki kitu kinakuwa kinafanyika vipi.
Maana tunaona kwa Foreigners wakija wanapeta tu,sasa hembu wajuzi tupeni ufafanuzi hapo.
Karibuni sana wadau.