Wafanyabiashara tu: Come update mikopo nafuu na kwa haraka

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Wadau,

Je, Wewe ni mfanyabiashara? na je Biashara yako imesajiliwa? na Jeu na nia ama mawazo ya kujitanua zaidi kibiashara? na je, una tenda mpya on the way na unahitaji kua funded ili kurahisisha utekelezaji wa tenda yako?

Basi International Commercial Bank tupo tayari kukusaidia...

Tunatoa Mikopo kama vile Overdraft na term loans Mahsusi ka ajili ya wafanyabiashara wa aian zote.

1. Term Loan
- Mkopo huu unatoka kwa kati ya miaka 3, 5 hadi 10
- Mkopo huu uaaniza 100mil hadi 2.5 bil
- Mkopo huu haswa ni kwa ajili ya longterm investments (Projects) kwa wale ambao wako kwenye biashara kwa sasa na wanauhitaji wa kuinvest zaidi.
- Mkopo huu, Ni kwa ajili ya kujitanua kibiashara kwa wafanyabiashara wa aina tofauti tofauti.

2. OverDraft
- Mkopo huu kwa jina jingine unafahamika kama "Working Capital"
- Mkopo huu unatoka kwa maximum 1 year
- Mkopo huu interest huchajiwa riba kwenye kiasi kilichotumika tuu.
- Mkopo Huu ni working capital kwa wafanyabiashara wenye uhitaji wa kua boosted financially so as kurahisisha utekelezaji wa project flani ama mizigo fani e.t.c

NB: ZINGATIA VIGEZO:

1. Dhamana-Iwe mali isiyohamishika.
2. Bank Statement- Kuonyesha mzunguko wa biashara yako kibenki, na iwe ya bank yoyote ile.

  • Kwa Mawasiliano Zaidi,

    Contact ME:
    Email- Ibrahim@icbank-tz.com
    Line- +255 22 2150094
    Mobile- 0652590519

Mie nimependa kwenye Bank statement kjwamba iwe Bank yoyote.Maana wengine wana masharti lazima uwe na account kwao yenye muda wa zaidi ya miezi sita ndio u qualify.Au na nyie ndio hivyo hivyo?

Maana mie nipo Barclays na Statement yangu ipo vizuri.

Tatizo ni kwenye mali isiyohamishika tu,hapo ndio tatizo.Sasa inakuwaje.
Au ndio nitafute mtu mwenye Nyumba nije kuchukua,au inakuwaje.

Halafu wengine hatutaki pesa kama kiwango umechoweka.

Tatizo la Bank pia ni kwamba biashara wanayotaka wao lazima iwe ile ya kuwa sehem moja,kama duka,hotel,nk.
Lakini ukimuambia mtu biashara yangu ni ya usafiri hapo anaona hufai.

Hembu funguka,maana mie nakibiashara changu cha Carry na Bodaboda,sasa sijui kama nita qualify.Dhamana ya nyumba naweza kupata ya jirani,tehehete
 
Mimi ni Mkulima ninayeanza kuvuna Kahawa Kwa mara ya kwanza mwaka huu,nina shamba la Kahawa eka saba, Nataka kukopa fedha ninunue Lori kwa ajili ya kusafirisha Mazao yangu Kutoka shambani hadi kuuza kwenye kampuni, vilevile kwa ajili ya kubebea mbolea, Sina bank statement yenye mzunguko wa Biashara, , nyumba ninayo lakini haina Hati Ina ofa tu, shamba langu la Kahawa lina Hati ya kimila, Nataka kukopa millioni 120,je mtanisaidiaje ?
 
Mkuu, biashara iwe mkoa wowote au lazima mjini?
 
Weww mleta uzi una maana gani kukaa kimya wakati umeulizwa maswali?
 
Mkuu huyo ni muajiriwa,sasa uzi ameuweka tarehe 24th ijumaa,sasa jana Jmosi leo J pili.
Kesho ndio anaingia kazini kwenye Computer ya Ofisi ili aweze kujibu.
Asipofanya hivyo kesho Jumatatu atakuwa hafai kuweka promo.
 
Kaaz kwelkwel.

Wanatoa mkopo mpaka bilioni halafu hawana vitendea kazi!
 
Tunachangamsha jukwaa ili iweje, Kipi una mashaka nacho?
 
Mimi ni Mkulima ninayeanza kuvuna Kahawa Kwa mara ya kwanza mwaka huu,nina shamba la Kahawa eka saba, Nataka kukopa fedha ninunue Lori kwa ajili ya kusafirisha Mazao yangu Kutoka shambani hadi kuuza kwenye kampuni, vilevile kwa ajili ya kubebea mbolea, Sina bank statement yenye mzunguko wa Biashara, , nyumba ninayo lakini haina Hati Ina ofa tu, shamba langu la Kahawa lina Hati ya kimila, Nataka kukopa millioni 120,je mtanisaidiaje ?

Mkuu Vigezo na Masharti ni muhimu kuzingatiwa,

1. Ni bank statement

2. Dhamana.

kwa dhati kabisa mkuu nje ya hapo kwa ICB ni ngumu ila kama unaweza call me tuongee, tunaweza kusaidiana kwa njia nyingine mkuu.
 
Mie nimependa kwenye Bank statement kjwamba iwe Bank yoyote.Maana wengine wana masharti lazima uwe na account kwao yenye muda wa zaidi ya miezi sita ndio u qualify.Au na nyie ndio hivyo hivyo?

Maana mie nipo Barclays na Statement yangu ipo vizuri.

Tatizo ni kwenye mali isiyohamishika tu,hapo ndio tatizo.Sasa inakuwaje.
Au ndio nitafute mtu mwenye Nyumba nije kuchukua,au inakuwaje.

Halafu wengine hatutaki pesa kama kiwango umechoweka.

Tatizo la Bank pia ni kwamba biashara wanayotaka wao lazima iwe ile ya kuwa sehem moja,kama duka,hotel,nk.
Lakini ukimuambia mtu biashara yangu ni ya usafiri hapo anaona hufai.

Hembu funguka,maana mie nakibiashara changu cha Carry na Bodaboda,sasa sijui kama nita qualify.Dhamana ya nyumba naweza kupata ya jirani,tehehete

Ni cheki privately mkuu tuongee tafadharii.
 
Mkuu Vigezo na Masharti ni muhimu kuzingatiwa,

1. Ni bank statement

2. Dhamana.

kwa dhati kabisa mkuu nje ya hapo kwa ICB ni ngumu ila kama unaweza call me tuongee, tunaweza kusaidiana kwa njia nyingine mkuu.

Hahahha "Tunaweza kusaidiana kwa njia nyingine" nmefanya kazi kwa karibu na maafisa mikopo nina imani ipo njia nyingine swali ni je ataweza huyu jamaa?
 
Marhaba nimekutumia emails kwenye Private and Office email.
Baada ya kupata maelezo ya kutosha kutoka kwa muhusika.
 
Kwaiyo niki visit ofisini kwenu nikuulizie kwa jina tajwa la hapa jf au... Coz mm dhamana ninazo na benki statement yangu ya kampuni ila haijakaa powa sana kwa pesa ninayohitaji utasaidiaje mkuu??
 
Bank nzuri ambayo inatoa mikopo ya biashara bila longo longo na riba ni nzuri ni Equity Bank.. Ijaribu, hutojuta
 
Back
Top Bottom