Wafanyabiashara tu: Come update mikopo nafuu na kwa haraka

Wafanyabiashara tu: Come update mikopo nafuu na kwa haraka

Mkuu nilikutumia 'PM' hukunijibu, nimekutumia email leo; unless if you smelled I'm not genuine!!:teeth:

Mkuu pole sana.. I ddnt see hiyo pm but av got ua email mkuu. ntakujibu soon chief.
 
Wadau,

Je, Wewe ni mfanyabiashara? na je Biashara yako imesajiliwa? na Jeu na nia ama mawazo ya kujitanua zaidi kibiashara? na je, una tenda mpya on the way na unahitaji kua funded ili kurahisisha utekelezaji wa tenda yako?

Basi International Commercial Bank tupo tayari kukusaidia...

Tunatoa Mikopo kama vile Overdraft na term loans Mahsusi ka ajili ya wafanyabiashara wa aian zote.

1. Term Loan
- Mkopo huu unatoka kwa kati ya miaka 3, 5 hadi 10
- Mkopo huu uaaniza 100mil hadi 2.5 bil
- Mkopo huu haswa ni kwa ajili ya longterm investments (Projects) kwa wale ambao wako kwenye biashara kwa sasa na wanauhitaji wa kuinvest zaidi.
- Mkopo huu, Ni kwa ajili ya kujitanua kibiashara kwa wafanyabiashara wa aina tofauti tofauti.

2. OverDraft
- Mkopo huu kwa jina jingine unafahamika kama "Working Capital"
- Mkopo huu unatoka kwa maximum 1 year
- Mkopo huu interest huchajiwa riba kwenye kiasi kilichotumika tuu.
- Mkopo Huu ni working capital kwa wafanyabiashara wenye uhitaji wa kua boosted financially so as kurahisisha utekelezaji wa project flani ama mizigo fani e.t.c

NB: ZINGATIA VIGEZO:

1. Dhamana-Iwe mali isiyohamishika.
2. Bank Statement- Kuonyesha mzunguko wa biashara yako kibenki, na iwe ya bank yoyote ile.


  • Kwa Mawasiliano Zaidi,

    Contact ME:
    Email- Ibrahim@icbank-tz.com
    Line- +255 22 2150094
    Mobile- 0652590519





nyie mko dar tu lakini tangazo lenu linalenga tanzania yote,kwanini?
 
Hata bado sijaelewa but nataka dip details kuhusu hiii kitu cox nataka mkopo for real cox now nko Na Crdb but nakuja kwenye email
 
Back
Top Bottom