nchi nyingi hasa za Ulaya ambazo zimekuwa wafadhili wakuu—zimeripotiwa kusitisha au kupunguza misaada kwa Tanzania.
Na tukubaliane, misaada hii ingawa si haki ya kudumu, imekuwa chanzo muhimu sana kwenye pesa zinazotumika kwajili ya matumizi ya viongozi (mfano kununua V8 za ofisini), kulipa mishahara, kuendesha miradi, n.k.
Sasa swali linabaki: Fedha hizi zitafidiwaje? Zitatoka wapi?
Mabibi na mabwana, hawa si wengine bali ni:
WAFANYABIASHARA
Yajayo ni KASHESHE

- Huonekana ni mabingwa wa kutengeneza pesa
- Huonekana ni watu wanaopata faida kubwa sana kilaini
- Huonekana ni watu wanaotunza akiba kubwa
- Huonakana wanathamini sana mali na pesa, watakuwa tayari kulipa ili kulinda biashara zao
Yajayo ni KASHESHE