A
Anonymous
Guest
Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni.
Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini nimechelewa kulipa kwa wiki moja, na leo nimeenda ofisini kwao nimeambiwa faini imeongezeka mpaka laki mbili kwa sababu nimechelewa kulipa kwa wiki moja ilihali control numbers bado hazijaisha muda wake.
Sasa naomba kujua kama hii ni sawa kweli? Maana biashara wamenifungia na hawataki kunipa funguo ili nifanye biashara na kupata pesa ya kulipa hiyo faini na Serikali ilipiga marufuku kufunga biashara kwa sababu ya kushindwa kulipa leseni au kodi.