A
Anonymous
Guest
Kuna utaratibu mpya wamekuja nao binafsi naona kwa sisi wananchi wengi wa kitanzania 70% ambao tuna uchumi mdogo naona hawatufanyii fair kwa kutokutusikiliza tunakuwa kama tupo ugenini kumbe ni nchini mwetu..
Hii ishu ya LESENI wameigawanya
1: Leseni ya Vileo hii ni elfu 40 mara 2 kwa mwaka yaani utalipa elfu 80 kwenye Grocery..
2: Leseni ya vyakula na bidhaa ndogo ndogo ktk duka ni elfu 50 kwa mwaka
Sasa kama unavyojua wajasirialiamali wengi mitaji bado ni midogo, hivyo wanachanganya vileo na bidhaa nyingine kama ngano,sukari, sabuni n.k
Sasa hapo maafisa biashara wakija wanataka uwe na leseni 2
Ambapo utalipa 130k kwa mwaka..
Kama huwezi wanakwambia chagua kutoa biashara moja kati ya hizo mbili kwenye biashara yako..
Sasa ni kwanini kwa wafanyabiashara wa namna hiyo wanaotaka kuchanganya wasisetiwe Leseni zao nafuu coz 130k kwa mwaka na mahitaji ni mengi inamfanya asikue kiuchumi...
Na pia wanapunguza mzunguko kwenye maduka ya jumla either ni vileo / bidhaa za kawaida..
So kuharibu mzunguko wa biashara wa maeneo husika..
Ni vyema wakae chini na wadau wa biashara waliweke hilo sawa ili kila mtu afurahie biashara yake na akue, coz muda unakwenda kiingiacho ni kidogo na watu wana ndoto lukuki...