Wafanyabiashara Ubungo wachangishwa hela ya ulizi wa maandamano 7 7

Nilifikiri ulinzi ni bure🫢
 
pamoja na kwamba kuna porojo,chumvi, upotoshaji na kujaribu kulifanya kama vile hilo ni jambo jipyaaaa kadiri ya alieandaa script,

but suala la kuchangia ulinzi shirkishi kwenye maeneo ya biashara na makazi ya watu ni la kawaida na halijaanza leo, jana au juzi.

In fact ni jambo endelevu kwa maslahi mapana ya kiusalama kwa watu wote kwenye eneo mahalia 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…