B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Kama ilivyo kariakoo wafanya biashara wengi wanafanya biashara ya B2B yaani Busness to bussness ( mtu ununua bidhaa na kuiuza hio bidhaa iliapate faida/profit.
Wa China na watu wenye viwanda wao ufanya B2C yaani Busness to consumption ( uunda bidhaa kiwandani kisha kuiuza kwa mlaji, ndo profit/faida wanapoipatia)
Kama ambavyo wafanya biashara wa kariakoo uwa wanawalalamikia wachina waliopo kariakoo kuuza bidhaa zao kwa bei nafuu kitu ambacho kina athiri wafanya biashara wa ndani .
Mfano wa kinachofanyika katika hii biashara .
Mtanzania anaenda China na vielelezo vyake yaan TIN number , Nida nk na ana mshawishi mchina hasa mwenye kiwanda na kula nae contract kuwa mchina kwa vile ana kiwanda basi asafirishe bishaa zake kwa wingi na kupeleka Tanzania ambapo huyu Mtanzania ndo atakua msimamizi wa Godown. Mikataba hii ufanya bidhaa iuuzwe bei rahisi kwani bidhaa usafirishwa kwa wingi tofauti na ile ya MOQ (minimum order quantity)
Sasa hali hii☝️☝️ imetokea kenya. Kuna bidada anaitwa Shiquo. Huyo dada baada ya kula contract na mchina basi anauza vitu bei chee kupindukia hadi wale wanaofanyaga biashara ya kwenda china kununua mzigo au kuwanunulia watu ili MOQ ifike wanaona bora wachukue kwa huyo bidada nchini.
Mtindo huu wa contract wanaufanya pia wabongo wachache mfano ni yule bidada alie kamatwa kwa kuchangisha fedha za maafa.
Taharuki itaanzia hapa
Siku kituo hiki cha biashara kikikamilika na kuanza kazi basi hii mikataba na wachina itakua mingi .pia wachina watakalibishwa kuwekeza nchini na wata jaza magodown kwa bidhaa na kuuza vitu bei chee kitu ambacho kitaathiri wafanyabiashara wa kariakoo wanaofanya B2B kwani kodi ya fremu ipo juu ukizingatia ushuru na Tozo zimesimama hali itakayofanya biashara nyingi kushindwa kuendelea
Wafanya biashara wa Kkoo tujipange kwa mabadiliko haya huko mbeleni na kuacha tabia ile ya kuuza bidhaa kwa kujiskia kua hapa ni 'mtakuja'.
Suluhisho
Panga mikakati katika biashara yako itakayo tengeneza Royal customer watakao kuwa na wewe in whatever happens. kwani wabongo upenda vitu cheap na wataenda upande wa mchina na kuwaacha wauzaji wakibongo.
Kwani huko kenya wafanya biashara wana mlalamikia huyo bidada na hio strategy yake ya contract badala ya wao kutengeneza mikakati itakayo okoa biashara yao pamoja na wateja wao
Tengeneza Good service au good product iuze kwa reasonable price yenye good customer care ili siku mchina akileta bidhaa zake kwenye Godown nchini uweze kuendana na mabadiliko na bei atakayo kuja nayo wateja wako wasije kukukimbia, biashara yako ikafa na uanze kulalamikia serikali na wachina kwani wafanya biashara wengi sio ma Celebrity/ super star ambao mteja uwa ananua bidhaa kwa bei ya juu kisa muuzaji ni mtu maarafu na anapata pride pale anapouziwa bidhaa na Star huyo.
Tengeneza social media presence; ni muda sasa wa wafanya biashara kuiingia kwenye mitandao ya kijamii kama instagram, tiktok.. nk ili watengeneze community/ jamii
Jamii au followers hao uta showcase product na huduma yako
Huko kenya wafanya biashara ambao walikuwa sio watu wa mitandao wameishia kulalamika kwani walifanya biashara kimazoea " kua hapa ni mtakuja"
Wateja wote wamemkimbilia huyo bidada na mchina wake hali inayowafanya wauze bidhaa zao kwa bei ya chini ili warudishe pesa ya mzigo ukizingatia kodi ya fremu ipo juu.
View: https://x.com/millardayo/status/1876218889635283018?t=xIhwPx1pLWbJTTNOfMHtEg&s=08
Viongozi wa kariakoo waomba mazungumzo
View: https://www.instagram.com/reel/DEnQCN4i-hN/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
# Jiandae kwa yajayo mbeleni
Nawasilisha.......