Hii inaonyesha Bwana mbwana alikuwa hakubaliki na wafanyabiashara wenzake,yaani hata robo tatu ya kura kashindwa kufika,ila nao wapiga kura wanasiri sana moyoni,itakuwa kabla ya kupiga kura walimpa matumaini ya kushinda ila moyoni mwao kuna jambo wameshalipanga kumpiga chiniWakuu,
Wafanyabiashara wa Kariakoo wamemchagua Mwenyekiti wao mpyA anayeitwa Severini Mushi aliyepata kura 229 akimshinda, Martin Mbwana aliyekuwa akitetea kiti hicho ambaye amepata kura 12.
Soma pia: Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa
Uchaguzi huo umefanyika Alhamisi Desemba 5, 2024 jijini Dar es Salaam.
View attachment 3170472
Source: Mwananchi
Kuchagua kiongozi mpya siyo kumpiga chini wa zamani. Mabadiliko ya uongozi ni muhimu kupata mawazo mapya, siyo lazima wawe kama vyama fulani vya siasa kuweka ma ayattolah miaka na miaka.Wakuu,
Wafanyabiashara wa Kariakoo wamemchagua Mwenyekiti wao mpyA anayeitwa Severini Mushi aliyepata kura 229 akimshinda, Martin Mbwana aliyekuwa akitetea kiti hicho ambaye amepata kura 12.
Soma pia: Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa
Uchaguzi huo umefanyika Alhamisi Desemba 5, 2024 jijini Dar es Salaam.
View attachment 3170472
Source: Mwananchi
Elezea mazuri aliyoyafanya siyo kulia lia kwa kudekaNdugu Mbwana kipi alifanya mbaya hadi kupigwa ndonga za chembe hivyo?.
Pengine ajali ya ghorofa moja ya sababu...martin mbwana kazingua wapi?
Hakuna mahali penye nguvu ya kisiasa kama Kariakoo ni kwa vile wale mabwana hawajui au hawataki kufanya siasa. Wakiammua kugomea kitu ni heri CDM na vyama vyote vya upinzani wagome kuliko watu wa K'koo.Wachagga na siasa za masoko baada ya vile za majimbo kuwashinda
USSR
Vyama vya siasa vikalitazame hili kama chachu ya uchaguzi wa kweli na haki.Wakuu,
Wafanyabiashara wa Kariakoo wamemchagua Mwenyekiti wao mpyA anayeitwa Severini Mushi aliyepata kura 229 akimshinda, Martin Mbwana aliyekuwa akitetea kiti hicho ambaye amepata kura 12.
Soma pia: Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa
Uchaguzi huo umefanyika Alhamisi Desemba 5, 2024 jijini Dar es Salaam.
View attachment 3170472
Source: Mwananchi
Duh kura 12 tuu π€£π€£π€£π€£π€£Wakuu,