Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

MY TAKE
Ushauri wangu watakapokuja kuomba chakula JPM ahakikishe chakula kinatolewa Mpanda na kusafirishwa kwa treni (the just rehabilitated MGR) mpaka Mwanza halafu ferry wagons (MV Umoja) mpaka Kisumu then watajijua from there onwards kama kwa kutumia their MGR au la? Halafu mbele waweke bango Food relief program with love from People of Tanzania!
 
Kenya wanatutegemea sana hata produces wanazosafirisha abroad mostly zinatoka tanzania hata cereals nyingi nì Tanzania hio jeuri ya kenyata ili awe praised na international communities itamtokea puani
Na huyu jamaa angekuwa walau na term moja ahead wangemuweka pembeni.
 
Haha hizi vitu kama huezi prove hapa kwa takwimu nenda ukawahadithie wanawake wa kijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee unaota!!! Mpaka umefungwa!!!
Kama mpaka umefungwa si watatafuta alternatives, alternatives ni nyingi sana
Kwanza itakua a blessing in disguise kwa wakulima wakenya kwa kua hao wafanyibiashara watalazimika kununua kwao..wamekua wakikimbilia Tanzania na uganda kwa kuwa vitu ni cheap huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No please, Tanzania tutao bure kweli kweli not like USaid.
MY TAKE
Ushauri wangu watakapokuja kuomba chakula JPM ahakikishe chakula kinatolewa Mpanda na kusafirishwa kwa treni (the just rehabilitated MGR) mpaka Mwanza halafu ferry wagons (MV Umoja) mpaka Kisumu then watajijua from there onwards kama kwa kutumia their MGR au la? Halafu mbele waweke bango Food relief program with love from People of Tanzania!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mpaka umefungwa si watatafuta alternatives, alternatives ni nyingi sana
Kwanza itakua a blessing in disguise kwa wakulima wakenya kwa kua hao wafanyibiashara watalazimika kununua kwao..wamekua wakikimbilia Tanzania na uganda kwa kuwa vitu ni cheap huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu vitu ni cheap na haviwatoshelezi huko!!! Si tupo,ngoja tuone!!
 
Hamna uwezo hao ni wafanyibiashara waliokua wameorder na kulipia ila mizigo yao imekwama mpakana unexpectedly ni obvious watalalamika ila next team watatafuta alternatives...give it time tuone nani atalia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya mtakosa
1)Mahindi
2)Michele
3)Legumes
4)Onions
5)Fruits
6)Cotton
7)Paper
8)Timber
9)Fertilizers
10)Cattle
11)Transformers(Electric)
12)Cooking gas
13)Wheat

Tanzania tutakosa bidhaa gani muhimu toka Kenya?, Tafadhali zihorodheshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom