Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

nilitegemea hili swala.na leo ni siku ya 3.embu tutoe wiki mbili zaidi tutapata matokeo mazuri zaidi kama mh uhuru kenyata alivyopenda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
MY TAKE
Ushauri wangu watakapokuja kuomba chakula JPM ahakikishe chakula kinatolewa Mpanda na kusafirishwa kwa treni (the just rehabilitated MGR) mpaka Mwanza halafu ferry wagons (MV Umoja) mpaka Kisumu then watajijua from there onwards kama kwa kutumia their MGR au la? Halafu mbele waweke bango Food relief program with love from People of Tanzania!
Wishful thinking. You don't have guts to do that.
 
Hamna uwezo. Mkiskia the name Kenya Kinjeketile Ngwale coils his tail behind the legs. Kama mko na uwezo mbona Kiparangoto asiamue to na atangaze Kua amefunga border.
Hahahaha, Mara zote ambapo Kenya na Tanzania zimetanuliana msuli, Kenya ndio umeshindwa na kuomba msamaha.

1) Unakumbuka sakata la Kenya kuzuia Gari za Utalii kufika JKIA na Tanzania kuamua kupunguza safari za ndege za KQ?, yupi aliomba msamaha?.

2)Unakumbuka Kenya ilipozuia gasi ya kupikia na ngano toka Tanzania, na Tanzania kuzuia maziwa na Sigara toka Kenya na kuzuia chakula cha Tanzania kuja Kenya?, nani aliomba msamaha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I can remember very well it was Tanzania that asked for forgiveness.
 
Kuna mjinga wa kikunya dk chache zilizopita alicoment humu eti tukifunga mpaka tutatoa wapi sabuni na mafuta ila naona amegundua ameandika ujinga akaona aifute tu [emoji23]

Haya ni kati ya mafuta yanayo ongoza kwa kutumiwa kwa sasa.
 
Wanamuomba Uhuru Kenyatta aende mpakani akajionee hali inavyokuwa mbaya. Ama kweli Tanzania inawalisha, ndio wakome sasa kukurupuka.

Wananchi wa Kenya mimi ninavyowajua huwa hawana matatizo, matatizo yapo na viongozi wao, hao ndiyo wanakuwa wanafiki. Wao lengo lao ni kumu-outsmart JPM kwenye vita dhidi ya Corona utafikiri vita ni kati ya JPM na wao. Vita ni yetu sisi sote dunia nzima, AGAINST CORONA
 
USA inapoiwekea vikwazo vya biashara Iran, kwani huwa hizo bidhaa Iran inapewa bure?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umefanya mpango upi kuhakikisha wakulima wa vitunguu na matunda hawapati hasara ya kuazo mazoa yao kutokana na kukosa soko. Je unayo mapango wa kufidia hasara? Kusema na kutenda vitu viwili tofauti.
 
After Tanzanians have realised the amount of money they will lose. They have decided to cooperate. Lazima watulie wapimwe😂😂

Umefanya mpango upi kuhakikisha wakulima wa vitunguu na matunda hawapati hasara ya kuazo mazoa yao kutokana na kukosa soko. Je unayo mapango wa kufidia hasara? Kusema na kutenda vitu viwili tofauti.
Kukosa soko? Kumbuka tuko mil 60 tunauziana wenyewe vzur tu au mnadhani matunda ya tanga Lindi hayaendi...
Uzur tz kilimo kimetofautiana maeneo na maeneo, tanga inasambaza matunda wakati mikoa ya kusini inasambaza mahindi viazi kwa mikoa mingi tu humu humu ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good work Kenyan police, chapa wote. Waoga wa Tanzania nao kazi yao ni kurusha Teargass alafu wanajificha😂😂😂.

Kukosa soko? Kumbuka tuko mil 60 tunauziana wenyewe vzur tu au mnadhani matunda ya tanga Lindi hayaendi...
Uzur tz kilimo kimetofautiana maeneo na maeneo, tanga inasambaza matunda wakati mikoa ya kusini inasambaza mahindi viazi kwa mikoa mingi tu humu humu ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kelele tu. Historia ya mkulima mtanzania kuharibikiwa na mazao kwa kukosa soko is well documented. Msiwavuruge wakulima.
 
Back
Top Bottom