Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
NakusikitikiaNdiyo maana naipenda CCM.Chini ya utawala wa CHAMA CHA MAPINDUZI huu umavimavi hauwezi kutokea Tanzania.
KUjitoa kwenye biashara haramu sio rahisi namna hiyo mkuu, wakati tu unajiingiza kwenye biashara hiyo unakubali either kifo (kutoka upande wa serikali au mahasimu wako wa biashara) au u snitch wenzio ili serikali ikulinde.Lakini kwa biashara hiyo inatakiwa ufanye kwa target. Ufanye kwa muda fulani. Ukivuna za kutosha kabla hujawa mkubwa mpaka kujulikana,badirisha biashara na mtindo wa maisha yako wote badirisha,na hama kabisa hiyo nchi kaanzishe biashara nchi nyingine.
Kwan unafikir hawapendi kuacha hiyo Biashara ? Kam ulikuw hujui ngoja nikupe Elimu,... Hayo makundi yana Muunganiko wa matawi tofaut tofaut kam vile ilivyo kwenye siasa ambavyo kuna Muunganiko wa Nchi zinazounda NATO au BRICS,Wauza madawa wangekua wanatosheka wangekua mbali mno, tatizo wanataka utemi wawe na vi nchi vyao vidogo vidogo ndo balaa kabisa
Kwan unafikir hawapendi kuacha hiyo Biashara ? Kam ulikuw hujui ngoja nikupe Elimu,... Hayo makundi yana Muunganiko wa matawi tofaut tofaut kam vile ilivyo kwenye siasa ambavyo kuna Muunganiko wa Nchi zinazounda NATO au BRICS,
basi na kwenye madawa ndo hivyo hivyo .... Na wenyew wana Makundi yao yanayounda umoja Husika
Hivyo inapotokea Umeanza kufanya hiyo biashara hat kam upo peke yako Wakikubaini tu hata kam Ulikuwa na Mzigo wa Kilo moja basi inabid Ujiunge na Kundi litakalokufata ujiunge nalo na ukikataa Kinachofata ni kifo,
Na ubaya unakuja kwamba ukishajiunga kwenye hayo makundi basi kuna katiba zao na moja ya masharti ni Hakuna mwanakundi anayetakiwa kujitoa au kuhama nchi bila ruhusa ya Mkuu wa Muungano,
Ikitokea umetaka kujitoa au Umehama nchi bila ruhusa bas kinachofata ni kifo tu na usijidanganye unawez ukajificha sehem yyte duniani maan hawa Jamaa wana mtandao mkubwa mno ambao unafika had kweny vyombo vya Usalama,
Hivyo unapokuwa umejipanga Kuanza hii biashara bas tambua kwamba hakuna kuludi nyuma kamwe,... Ni mwendo wa kusonga mbele tu mpaka Mauti itakapokufikia.
Sio rahisi mkuu, ukishaingia huko sio rahisi kuja kubadilisha biashara tena, hiyo haramu ina faida sana japo inaua jamii na taifa.Lakini kwa biashara hiyo inatakiwa ufanye kwa target. Ufanye kwa muda fulani. Ukivuna za kutosha kabla hujawa mkubwa mpaka kujulikana,badirisha biashara na mtindo wa maisha yako wote badirisha,na hama kabisa hiyo nchi kaanzishe biashara nchi nyingine.
Kuna mambo huwezi kuyajua,ni vile hutembei tuu ndugu ya guNdiyo maana naipenda CCM.Chini ya utawala wa CHAMA CHA MAPINDUZI huu umavimavi hauwezi kutokea Tanzania.
Mambo ni aina hii ukiyaona ni kufunga mdomo wako na super glueMtoto wa Elchapo Guzman alikamatwa kikosi chake kilizipiga na jesh mpaka ikabid wamwachie zilitembea njugu kiroho mbaya, kuna jamaa wawili walikupog SOUTH FLORIDA miaka ya sabin mmoja anaitwa willy falcon mwenzie simkumbuk wao ndio inasemekana 75% ya cocaine iliyokuwa inatembea duniani ilikuwa yao, hawa ndio wamechangia kwa kiasi kikubwa ujenzi wa maskyscraper yaliyopo MIAMI, huyu Willy Falcon ni mcuba na Rosay kamwimba sana kwenye nyimbo zake…HAYA MA CARTEL NI SERIKALI KABISA MKUU
Ukiisha kuwa cartel ni maisha huwezi badili maana maokoto huko ni nje nje na ubabe kwa sanaPamoja na nguvu wanayokuwa nayo ni ya muda tu. Wengi wao wanaishia jera ya kudumu au kuuawa na makundi mengine.
Mimi nafikiri kitu kinachowaponza wengi ni ile hali ya kutaka ufalme wa eneo fulani. Tatizo ni kwamba wengi wao vichwa vinakuwa haviko vizuri ksbb ya madawa. Lakini kwa biashara hiyo inatakiwa ufanye kwa target. Ufanye kwa muda fulani. Ukivuna za kutosha kabla hujawa mkubwa mpaka kujulikana,badirisha biashara na mtindo wa maisha yako wote badirisha,na hama kabisa hiyo nchi kaanzishe biashara nchi nyingine.