nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Wafanyabiashara wa Mwanza wanaotokea Tarime Vijijini wamkataa Waitara.
Jana Tarehe 16/2/2020 Jijini Mwanza- Waitara amefanya kikao cha kampeni na wafanyabiashara wa Bwierege walioko Mwanza ili kuomba huruma yao mda huu ambao hata wapambe wake wa karibu wanonyesha dalili ya kumumwaga.
Wafanyabiashara wengi hawakuhudhuria wakitoa udhuru mbalimbali, lakini nia kubwa ilikuwa kumukwepa kwani wanadai ni mtu mfa maji na anatapatapa.
Wanaida iliwahi kuwatukana na kuwadhalilish vibaya kipindi cha nyuma akiwa Chadema wao wakimuunga mkono Nyangwine.
"Asitutishe na uwazari wake kwanza hautusaidii chochote ikiwemo jamii yetu" akafie mbali wamesema. " Kwanza anatugawa na kutubagua kikoo...kwa nini atuite wa Bwirege tu awaache wengine na ingali sote wote ni Wakurya? Wamehoji.
Baadhi ya wafanyabiashara wamelaani kitendo cha Waitara kuwaita wakidhani anaenda kuzungumzia Maendeleo kumbe anafanya kampeni.
" Ametukera sana..sisi tulitaka kusikia mambo ya Maendeleo yeye analeta upupu na siasa" Wenzetu walilitambua wakamkwepa" siku nyingine asijaribu kutuharibia mda wetu"
"Arudi Ukonga Sisi hatuhitaji Mbunge wa begi" Wamemalizia.