Uchaguzi 2020 Wafanyabiashara wa Mwanza wanaotokea Tarime Vijijini wamkataa Waitara

aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatar sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uongo
 
Huu ni uongo
Ukweli unatabia kuchelewa lakini siku ikifika haufichiki kama kikohozi. Watakapofika kwenye Mahakama ndipo watatajana na utajuwa uhusika wa Mwitta Waitara kwenye tukio la Lissu kushambuliwa
 

Mayo bagosha Nene!
 
Duh hii allegation nzito sana.

Hatari sana maana huyu ni Yuda Iskariote kasoro hajatupa chini bipande vya fedha na kwenda kujitundika!!
 
Sasa ndio nini? Si wanaishi na kufanya biashara zao Mwanza? Wamkatae tu, na yeye hana shida nao! Wafanye biashara zao Mwanza na nje ya maduka yao waandike, tunamkataa Waitara, basi, inatosha. Watu wanaoishi Tarime wenyewe wanajua wanalolifanya.
 
Sasa ndio nini? Si wanaishi na kufanya biashara zao Mwanza? Wamkatae tu, na yeye hana shida nao! Wafanye biashara zao Mwanza na nje ya maduka yao waandike, tunamkataa Waitara, basi, inatosha. Watu wanaoishi Tarime wenyewe wanajua wanalolifanya.
sasa hujui kwa nini aliwafuata?
 
Hapo ndiyo nawapendea watu wa Tarime. WANA MSIMAMO na wana Umoja. Hawataki rushwa ya aina yoyote. Wakikukubali hata uwe Chama gani Ubunge utaupata tu.
Dah...Kuna tofauti ndogo sana kati ya msimamo na ujinga....wengi huwa wanajichanganya..[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Write your reply...Nimetonywa kuwa kuna mipira ya soka imepita kila kijiji sijui ni nani huyo kaleta.
 
Elimu ni mkombozi.
Itafika muda hata wa kumdanganya hatakuwepo.
Huyu ni mkurya mpumbavu binafsi ananichefua sana tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…