Habari wana JF.
Ningependa kushea idea mbalimbali na wauzaji wa Pumba laini za mchele au mahindi popote walipo Tanzania.
Tujuzane bei mbalimbali za sehem husika. Nitashukuru zaidi kama tutaendelea kujuzana zaidi kupitia 0685733122 au 0658204496.
Ahsanteni.