Wafanyabiashara wa pumba laini za mahindi na mchele hii inawahusu

Wafanyabiashara wa pumba laini za mahindi na mchele hii inawahusu

BITEMO

Member
Joined
May 30, 2015
Posts
73
Reaction score
3
Habari wana JF.

Ningependa kushea idea mbalimbali na wauzaji wa Pumba laini za mchele au mahindi popote walipo Tanzania.

Tujuzane bei mbalimbali za sehem husika. Nitashukuru zaidi kama tutaendelea kujuzana zaidi kupitia 0685733122 au 0658204496.

Ahsanteni.
 
kwangu utapata aina zoote za mahindi na mpunga pumba laini namaanisha, just pm me
 
Back
Top Bottom