Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

brownboy

Senior Member
Joined
Jun 10, 2023
Posts
103
Reaction score
278
Naomba kufahamishwa kuhusu uuzaji wa simu. Je simu za jumla natoa wapi? Nina mpango wa kuanzisha duka la simu.
 
Hapa bongo hamna chimbo la maana agiza au fuata nje kama unahitaji brand new anzia Guangzhou China ila kama refurb anzia Dubai, kuna soko linaitwa Deira ndio kama Kariakoo yao kuna kila kitu machimbo ya simu kama yote, unaweza pata hata toleo la simu ambayo kampuni husika hawajaiingiza rasmi sokoni ila huko utaikuta inauzwa na imeshatumika [emoji16][emoji16]
 
Naomba kufahamishwa kuhusu uuzaji wa simu. Je simu za jumla natoa wapi? Nina mpango wa kuanzisha duka la simu.
Inategemea, kama una mtaji mkubwa basi unaweza kuagiza mzigo wako kutokea Dubai na China ukaweka stock ukaanza kuuza.

Ila watu wengi wenye maduka ya simu hawana mitaji mikubwa, So wanachofanya wanaweka tu simu chache kwenye display kwenye duka au wanaweka mabox ya simu mengi kama unavyoona maduka ya makumbusho. Then akija mteja akataka simu basi wanaenda kuchukua kwa watu wa Jumla ambao wana stock, Watu hawa wenye stock wapo wachache na wanafahamika..
 
Mtaji kama kiasi gani inatosha kwenye biashara ya simu refurbished toka Dubai

Je mil 8 inatosha?
 
wakuu mtaji upo unaweza kuwa na maana kwa ameanza na mzigo akawa nao wa ukweli?

Pia je uzuri ni kudeal na brand moja au simu zote.

Mfano mtu Adela na Samsung tu, au Xiaomi tu au oppo Tu au kuchanganya ni bora zaid
 
Inategemea, kama una mtaji mkubwa basi unaweza kuagiza mzigo wako kutokea Dubai na China ukaweka stock ukaanza kuuza.

Ila watu wengi wenye maduka ya simu hawana mitaji mikubwa, So wanachofanya wanaweka tu simu chache kwenye display kwenye duka au wanaweka mabox ya simu mengi kama unavyoona maduka ya makumbusho. Then akija mteja akataka simu basi wanaenda kuchukua kwa watu wa Jumla ambao wana stock, Watu hawa wenye stock wapo wachache na wanafahamika..
Tunaweza wafahamu vipi mkuu?
 
Back
Top Bottom