Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

Kama ni China itabidi uende hapa Longzhu Communication Market au unaweza kuagiza ukaletewa mzigo kama una agent unayemfahamu. Hii ipo Shenzhen jimbo Guandong​

1699622603815.png
 
kama ni simu mpya hizi iphone na Samsung hazina utofauti mkubwa wa bei duniani. Hizi utapata kwa mawakala waliosajiliwa na makampuni husika. Lakini asilimia kubwa ya simu tunazotumia ni refurbished kutoka Dubai na China. Kwa mfanyabiashara unayetaka faida nzuri agizia China. Dubai pia ni wazuri ila bei zao ni kubwa kidogo kuliko China. Utofauti wa Dubai ni kuwa simu zao zina ubora na zinaaminika zaidi kuliko China.
 
Bado wengine weupe Vipi unaagiza online au unapenda je nauli kiasi gani?
 
Bado wengine weupe Vipi unaagiza online au unapenda je nauli kiasi gani?
Wakikujibu namna ya kuagiza Dubai ni tag mkuu nishaomba sana ila sijibiwi
 
Back
Top Bottom