affinitytz
JF-Expert Member
- Feb 10, 2020
- 216
- 1,007
Nimeipenda hiiunaweza pata hata toleo la simu ambayo kampuni husika hawajaiingiza rasmi sokoni ila huko utaikuta inauzwa na imeshatumika
Naombe bei za iphone 11 pro max na 12 pro maxKama ni China itabidi uende hapa Longzhu Communication Market au unaweza kuagiza ukaletewa mzigo kama una agent unayemfahamu. Hii ipo Shenzhen jimbo Guandong
View attachment 2809736
Wakikujibu namna ya kuagiza Dubai ni tag mkuu nishaomba sana ila sijibiwiBado wengine weupe Vipi unaagiza online au unapenda je nauli kiasi gani?