mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Duuuh kumbe ni kweli hizi taarifa,Sio uzushi ni kweli hao watu wameitwa!
Habari wakuu,
Kuna taarifa ambazo sina uhakika nazo nimezipata kutoka Arusha kwamba kuna wafanyabiashara wamechukuliwa kwa siri kuletwa huku dar kwa mahojiano.
Je kuna taarifa zozote za ukweli kuhusu hili mwenye nayo atujuze.
Hizi taarifa nasikia zimetapakaa mkoani humo kwamba wafanyabiashara kama Olotu, Lema na Minja wameletwa dar kwa mahojiano.
Mwenye taarifa kamili atujuze kama ni kweli ama ni uzushi tuu uliotapakaa.
Asanteni.
Mimi sijui mkuu nani amewakamata kwa hayo mahojiano.Wameletwa au kuitwa Dar na nani na akina nani hao wanaowahoji????????
Hao wafanyabiashara wapo kwenye sekta gani? Yawezekana ni ile issue ya millioni saba kila dakika!Mimi sijui mkuu nani amewakamata kwa hayo mahojiano.
Ila tetesi zinasema ni kwa kuhujumu uchumi.
Wenye taarifa sahihi watujuze ili tusije kuwa'defame hawa wafanyabiashara na kuwaharibia reputation yao.
Kuna uvuma ambao upo ambao unasema kwamba walikua wanacheza na mashine zile za Taasisi ya Mapato.Hao wafanyabiashara wapo kwenye sekta gani? Yawezekana ni ile issue ya millioni saba kila dakika!
Kufetua risit fake ba hatimae kuikosesha serikali mapato.Duuuh kumbe ni kweli hizi taarifa,
Shida ni nini mkuu, wana makosa ya kuhujumu uchumi au?
Yule wa Elerai nilisikia naye anahusika, je amesalimika?Kuna uvuma ambao upo ambao unasema kwamba walikua wanacheza na mashine zile za Taasisi ya Mapato.
Olotu ni yule mwenye Olotu Trading ina'deal na hardware, Minja ana kampuni ya ufundishaji magari ya Modern. Na kuna yule owner wa Bulk pia.
Duhhh kama wamefanya hivyo itawaletea shida kubwa sanaaaa.Kufetua risit fake ba hatimae kuikosesha serikali mapato.
Kaenda kuhojiwa ila haja hukumiwa, kama kuna hukumu labda bado wana hariri maelezo yake.Yule wa Elerai nilisikia naye anahusika, je amesalimika?
Hata mimi nimesikia huyo pia kakamatwa.Yule wa Elerai nilisikia naye anahusika, je amesalimika?
We Ukanda kivipi si kama tetesi zinavyosema wanahojiwa basi uchadema umetoka wapi? Hiv kweli wasukuma wangekuwa na tabia kama hizo za kijinga......Ni kweli wamechukuliwa kwenda kuhojiwa, na hii yote ni wivu tu na watu wa kaskazini inaonekana eti ndio wafadhili wa chadema na wengi waliunga mkono Lowasa. Ila wameingia na gia ya kodi ajabu kubwa wote ni wafanyabiashara wakubwa na TRA ina rekodi zao.
Ww kweli serikali ionee watu wivu! !!?Ni kweli wamechukuliwa kwenda kuhojiwa, na hii yote ni wivu tu na watu wa kaskazini inaonekana eti ndio wafadhili wa chadema na wengi waliunga mkono Lowasa. Ila wameingia na gia ya kodi ajabu kubwa wote ni wafanyabiashara wakubwa na TRA ina rekodi zao.
wewe ni , nani kakuambia kaskazini hakuna wasukuma?! Shida ya kutotoa mguu kwenye kijiji ulicho zaliwa ndio majibu yake haya.We ni Kaburu tu! Ukanda kivipi si kama tetesi zinavyosema wanahojiwa basi uchadema umetoka wapi? Hiv kweli wasukuma wangekuwa na tabia kama hizo za kijinga......Lofa kbs!
Sio siri ina wivu sana ndio maana hata kwenye teuzi zake imebagua ukanda.Ww f.ala kweli serekali ionee watu wivu! !!?
Mkuu nina uhakika hujui unachokisema, nakushauri weka siasa pembeni, hii operation ya wakwepa kodi ni kweli inawaandama watu wa kaskazini tu?????Ni kweli wamechukuliwa kwenda kuhojiwa, na hii yote ni wivu tu na watu wa kaskazini inaonekana eti ndio wafadhili wa chadema na wengi waliunga mkono Lowasa. Ila wameingia na gia ya kodi ajabu kubwa wote ni wafanyabiashara wakubwa na TRA ina rekodi zao.
Naona serikali wamekua serious kidogo kwenye hii issue ya kodi.Mkuu nina uhakika hujui unachokisema, nakushauri weka siasa pembeni, hii operation ya wakwepa kodi ni kweli inawaandama watu wa kaskazini tu?????
Kamwe na haitatokea chama kikuondolee umaskini ulionao, pambana na maisha, mahaba ya ccm/chadema hayatabadili mfumo wako wa kiuchumi, weka siasa kando fanya kaziNi kweli wamechukuliwa kwenda kuhojiwa, na hii yote ni wivu tu na watu wa kaskazini inaonekana eti ndio wafadhili wa chadema na wengi waliunga mkono Lowasa. Ila wameingia na gia ya kodi ajabu kubwa wote ni wafanyabiashara wakubwa na TRA ina rekodi zao.