Tetesi: Wafanyabiashara Wakubwa Arusha kuhojiwa!!!!

Tetesi: Wafanyabiashara Wakubwa Arusha kuhojiwa!!!!

Kamwe na haitatokea chama kikuondolee umaskini ulionao, pambana na maisha, mahaba ya ccm/chadema hayatabadili mfumo wako wa kiuchumi, weka siasa kando fanya kazi
kweli mkuu
 
Na bado tutaisoma tu!
Lakini kwa akina low grade ndio moto huo unaanza. Wakibanwa na huku wanakaba!

Mabadiliko yoyote yanataka uerevu na uangalifu sana. Miaka miwili ijayo patakuwa.....
Aliyekosa kipindi kile cha vasko da gama sasa hivi asahau. Maana mpaka mapedezyee hawaonekani
mjini!
Ngoja tuone kama na kule kwa kina rizan one na february atafika au ndo watazuga na kuzua ishu mpya ili kufunika.
 
kama swala walikuwa wanakwepa kodi basi wawajibishwe kisheria.,
 
Wafanyabiashara wakubwa wapo kwenye majiji na miji yote nchini.
 
Bila kumsahau Benson And Company, nasikia na yeye yumo kwenye list, napendaga Sana zile vogue zake Akiwa amepaki pale nje, Ni balaaa
 
Wafanyabiashara wa madini naona wanapeta.. Ni ngumu kutruck records zao
 
Kamwe na haitatokea chama kikuondolee umaskini ulionao, pambana na maisha, mahaba ya ccm/chadema hayatabadili mfumo wako wa kiuchumi, weka siasa kando fanya kazi
Ila usikatae biase ipo tena sana.
Action should be taken rational but not like its done..
 
Back
Top Bottom