mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
- Thread starter
-
- #21
kweli mkuuKamwe na haitatokea chama kikuondolee umaskini ulionao, pambana na maisha, mahaba ya ccm/chadema hayatabadili mfumo wako wa kiuchumi, weka siasa kando fanya kazi
Ila usikatae biase ipo tena sana.Kamwe na haitatokea chama kikuondolee umaskini ulionao, pambana na maisha, mahaba ya ccm/chadema hayatabadili mfumo wako wa kiuchumi, weka siasa kando fanya kazi