Wafanyabiashara wakubwa jijini Dodoma wagoma, maduka yafungwa

Wafanyabiashara wakubwa jijini Dodoma wagoma, maduka yafungwa

Nsoji go Nvaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
999
Reaction score
1,948
Leo Juni 25, 2024 kuna mgomo mkubwa wa wafanyabiashara, maduka yafungwa Oneway, Majengo mitaa haina watu kabisa hali tete wananchi wanahaha.

CCM imechoka kwakweli.

20240625_092818.jpg


Pia soma:
 
Dodoma huwa wanachelewa kufungua maduka ... usilete taharaki kwa wakazi wa dodoma. Tanzania ipo salama chini ya Mama ... MITANO TENA KWA MAMA
 
Back
Top Bottom