peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mwanza na Arusha tunatuma picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wasaliti ndio wa kupigwa mawe.Huyu mpuuz kafungua kweli
Mwanjelwa mbeya tutatuma picha soon
Ukishakua chawa akili zinahamia tumboni FYI hayo maduka sio mapya.Acha uongo, hayo ni maduka mapya yanaelekea kukamilika kujengwa, hayajawahi kupangishwa
Tuvyumba huto ndio twa wafanyabiashara wakubwa wa Dom?Leo Juni 25, 2024 kuna mgomo mkubwa wa wafanyabiashara, maduka yafungwa Oneway, Majengo mitaa haina watu kabisa hali tete wananchi wanahaha.
CCM imechoka kwakweli.
View attachment 3025428
Pia soma:
Comments reservedSerikali walivyokuwa shortsighted badala ya ku-deal na wafanyabiashara, wakawabeba "viongozi" wakasema hakuna mgomo... hata sasa, watadeal na nani, mgomo hauna viongozi
Ulitaka waweke godown mjiniTuvyumba huto ndio twa wafanyabiashara wakubwa wa Dom?